Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,371
Mambo vipi wadau. Natumai mko poa na mihangaiko.
Anyways moja kwa moja kwenye mada. Nilikuja hapa miezi iliopita kuomba ushauri jinsi ya ku deal na wakopaji maana walifikia kunifilisi kabisa ikabidi nitafute mtaji nianze upya. Nashukuru sana kwa michango yenu niliweza kudhibiti kukopesha na endapo nikikopesha nakua very serious kwenye kudai. Sasa wateja wamenielewa wakiahidi pesa wanaleta siku flani basi wanatimiza.
Sasa leo nina tatizo lingine. Sina tatizo kweye kutengeneza pesa, alhamdulilah I can make money tatizo linakuja kwenye kuitunza hiyo pesa yani naweza kua na laki moja kwenye wallet lakini ndani ya siku mbili nabaki na 0. Sina watoto, nakaa nyumbani, nakula nyumbani, situmii kilevi cha aina yeyote na bado nachoma pesa kama makaratasi.
Biashara nayofanya ina faida kweli niki invest napata faida 50% lakini hiyo pesa sielewi inaenda wapi.
Wadau naombeni mnipe maujanja ya kukuza na ku save pesa nayopata. Nitashukuru sana.