The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 852
- 1,745
Kamuombe tena hakukupa huyo.Nimeomba namba Kwa pisi flan Kali kichiz ila sasa nilikuwa Niko vyombo nililewa vibaya mno,pisi iliniambia Huwa hainywi pombe,sasa washkaji naomba mnisaidie ile namba aliyonipa nilisahau ku-save kutokana na ulevi...nataka nile utamu nisaidieni nipate namba Tena,nimwambie Nini Ili anipe namba Tena bila kuhisi chochote,maana wakati nachukua namba alijua kabisa kama Niko vyombo,ila alinipa sema nilisahau ku-save kutokana na pombe,ila ni demu flani mzuuuuuuri kichiz sitaki kumkosa,wadau nipeni ushauri..nimempenda sana naweza acha pombe Kwa ajil take dah aisee baharia nimepatwa
Mkuu
mbona kama Bado una pombe kichwani aisee[emoji16]
Laiv bado Niko vtu,ila mwanangu nipe ujuz nafanyaje sasa..hii manzi iko vizur mwanangu nataka niiweke ndanMkuu
mbona kama Bado una pombe kichwani aisee[emoji16]
Mmmh!!!! hata hujakubali usha anza kushangilia. Mimi huku nakataliwa tu mwanzo mwisho i don't whyKhaa washkaji nimeshangazwa na uwez wa madem kushika namba za cm.pisi imenitext muda c mrefu oyoo...ubaharia sasa bas kudadeki mwamba naoa
Nimeomba namba Kwa pisi flan Kali kichiz ila sasa nilikuwa Niko vyombo nililewa vibaya mno, pisi iliniambia Huwa hainywi pombe, sasa washkaji naomba mnisaidie ile namba aliyonipa nilisahau ku-save kutokana na ulevi.
Nataka nile utamu nisaidieni nipate namba Tena, nimwambie Nini Ili anipe namba Tena bila kuhisi chochote, maana wakati nachukua namba alijua kabisa kama Niko vyombo, ila alinipa sema nilisahau ku-save kutokana na pombe.
Ila ni demu flani mzuuuuuuri kichiz sitaki kumkosa, wadau nipeni ushauri. Nimempenda sana naweza acha pombe Kwa ajil take dah aisee baharia nimepatwa.
Mkuu
mbona kama Bado una pombe kichwani aisee[emoji16]
Duuhππππππππ