Nipeni mawazo wadau kupata namba ya huyu binti

Nipeni mawazo wadau kupata namba ya huyu binti

Oyaa mchizi hio pc kali kweli au akili za pombe ?? Pombe ikiisha njoo uandike tena.
 
Nimeomba namba Kwa pisi flan Kali kichiz ila sasa nilikuwa Niko vyombo nililewa vibaya mno, pisi iliniambia Huwa hainywi pombe, sasa washkaji naomba mnisaidie ile namba aliyonipa nilisahau ku-save kutokana na ulevi.

Nataka nile utamu nisaidieni nipate namba Tena, nimwambie Nini Ili anipe namba Tena bila kuhisi chochote, maana wakati nachukua namba alijua kabisa kama Niko vyombo, ila alinipa sema nilisahau ku-save kutokana na pombe.

Ila ni demu flani mzuuuuuuri kichiz sitaki kumkosa, wadau nipeni ushauri. Nimempenda sana naweza acha pombe Kwa ajil take dah aisee baharia nimepatwa.
Acha pombe kwanza
 
Tayari nimeshaibandua,japo imenipa maumivu Kwa mbaali sio sana..
 
Mmmh!!!! hata hujakubali usha anza kushangilia. Mimi huku nakataliwa tu mwanzo mwisho i don't why
Pisi za mtaani mzeebaba huwa zinazingua..mi huwa naruka tu na za baa nakata teni,nabandua..kwisha,sasa hii ya juzi ilikuwa fresh kichiz yan..ina kichwa chepesi kushika namba
 
Back
Top Bottom