Nipeni mbinu m'badala nibebe hii toto

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hivi ukiwa na uyo demu unaongeaga lugha kama hii?
 

We utakuwa muuza ngada maana hii lugha dah sijui kinyantuzu
 
Mkuu huoni hii lugha ndo inamfukuza huyo msichana
 
Inaonyesha hajaelewa lugha unayoongea naye!
 
Kuna mshkaji ID yake inaanzia CHALII,
Jana (kama sikosei) alileta thread kama hii kwa 95%,
 
Sio Upuuzi kaandika kwa makini sana sisi wengine tumeelewa wewe kama ujaelewa utabakia hvyo hvyo bila shaka wewe ni. Mdaslam ujaelewa neno hata moja wewe unafikiri maneno yote ya msamiati yanatokea wapi kama sio arusha ,wewe hayo maneno kama Mambo ,vipa ulidhani unayatumia yalitokea wapi? Seneta Wa Mtwiz kaandika sahii na ameeleweka.
 
Kwani unaomba ushaur kwa watanzania au mabest zako coz hii lugha sio
 
Wekaa kidesa kwa mtabee huyuu mgos mgosngwa wa kipande cha iringaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…