Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,183
We endelea kukaza tu mbona utakidusua soon tu hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji121]Mabashite wameshindwa kusoma na kuelewa vizur lugha lakini wakina gwajima kama mimi nimeipatapo.
Seneta Go gaga, go gaga tuko pamonga
[emoji121]dah me mwenyewe nimeielewa hyo lugha aisee naomba kidesa
Poromosha lugha pacha mpaka waelewe[emoji121]
HAINA NYOSO MNDEWA!
DINI LIKO MUKINGA KINOUMAH!
[emoji121]Yani hapa nacheka kama chizi maana hiyo lugha aiseeee..........lol
[emoji121]hii lugha yako ndo inakunyima uchi
[emoji121]Dah!
Lugha za himaya ya bashite hizo.
[emoji121]Stupid!! Bado mateja wa viroba na ngada hawajaisha, elimu husaidia kumstarabisha mtu, ulivyoandika ni upuuzi mwingi halafu inaonekana wewe unavaa mlegezo
[emoji121]We endelea kukaza tu mbona utakidusua soon tu hapo.
[emoji121]mimi najua mwana anatania...over!!!!
[emoji121]Hio lugha yako ngumu sana, waweza kujiuma ulimi bure kumbe njia rahisi ni Wallet na ATM card tu