Nipeni mbinu m'badala nibebe hii toto

Nipeni mbinu m'badala nibebe hii toto

Stupid!! Bado mateja wa viroba na ngada hawajaisha, elimu husaidia kumstarabisha mtu, ulivyoandika ni upuuzi mwingi halafu inaonekana wewe unavaa mlegezo
 
Yani hapa nacheka kama chizi maana hiyo lugha aiseeee..........lol
 
Mabashite wameshindwa kusoma na kuelewa vizur lugha lakini wakina gwajima kama mimi nimeipatapo.

Seneta Go gaga, go gaga tuko pamonga
 
Stupid!! Bado mateja wa viroba na ngada hawajaisha, elimu husaidia kumstarabisha mtu, ulivyoandika ni upuuzi mwingi halafu inaonekana wewe unavaa mlegezo
[emoji121]
MKUU,
WESE LA POVU LINA JAZANDA OVER MINYUKI YA WAKI!
 
Kama namuona seneta vile alivyotupia shati refu ad magotini,suruali mnyonyo wakat wakuivaa lazima ujipake oil ndio ipenge,af chini kafunika na raba flan ya ungalimited inakuaga oversize akitembea inanepa kama buster za sem,ila umefunika atifu
 
Webewebe nibi msebengebe....ubitabashibindwaba jebe kubuchukubuaba mtobotobo kibirabahisibi hibivyobo......hiyo pang'ang'a haijakaa mswano jemedari
 
Sasa wewe ulitegemea ukimwambia mwende mkale tunda, atakubali bila kutingisha kiberiti? Au umezoea wale wa una shilingi ngapi? Wanaume wa mji huo mnatangusha sana!
 
Back
Top Bottom