Nipeni mbinu m'badala nibebe hii toto

Mmmh hii ngalelo pronunciation kama nimeielewa
 
Hii lugha inazidi kutrend humu jamvini siku izi dah
 
Hii ni lugha gani.shikamoo kizaz cha kikwete
 
Hahah...mkuu umeua.hyo ngoma yako ase,nimependa pale du alipotungua macho yakawa mekundu ka abood z mor...seneta nimekukubali.mkuu
 
Hapa ndio wavulana mnakosea.., tatizo mna mambo mengi saana.

Povu la BIA halifui nguo jamani
 
Stupid!! Bado mateja wa viroba na ngada hawajaisha, elimu husaidia kumstarabisha mtu, ulivyoandika ni upuuzi mwingi halafu inaonekana wewe unavaa mlegezo
Why so serious?
 
Achaga ungese, mvute kwa ndichi fanya kama una m dere tu kwa mafekeche mengine mbona mambo yatakuwa YENTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…