Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Nilikua nimelamba dume mpaka julai ila naona wamewahi kunifungulia bandani
Anyway nilikua na swali inawezekana kweli kuzuia kusimamisha maana sometime bila kutegemea upo kwenye daladala mara paap ngoma unasensi kabisa hapa naaibika
Nipeni mbinu ya kuzuia hili
Hivi ukiibana na plasta au ujifunge bandeji kuzunguka kiuno na yenyewe ukaibania humo bado itatuna tuu...!!!?
Nimewaza hivi makende yangekuwa yanavimba/yanasimama kama kirungu yeye sijui ingekuweje....!??
Akili za bibi sijui zinawaza nini weekend yote hii 😅😅
We bibi wewe...Hivi ukiibana na plasta au ujifunge bandeji kuzunguka kiuno na yenyewe ukaibania humo bado itatuna tuu...!!!?
Nimewaza hivi makende yangekuwa yanavimba/yanasimama kama kirungu yeye sijui ingekuweje....!??
Akili za bibi sijui zinawaza nini weekend yote hii 😅😅
Akili ya bibi inawaza ukuni[emoji23]Hivi ukiibana na plasta au ujifunge bandeji kuzunguka kiuno na yenyewe ukaibania humo bado itatuna tuu...!!!?
Nimewaza hivi makende yangekuwa yanavimba/yanasimama kama kirungu yeye sijui ingekuweje....!??
Akili za bibi sijui zinawaza nini weekend yote hii [emoji28][emoji28]
Na kweli bibi hunitakii mema hayo maumivu yake utaenjoy show
We bibi wewe...
Lakini yangekua yanatuna, bas tungejua na dress code inayoeza kuyabeba
Akili ya bibi inawaza ukuni[emoji23]
🤣🤣 Sasa unafikiri nitakua na jinsia gani? Hata hivyo elimu haina mwisho ngoja nisake madiniNina wasiwasi na jinsia yako mkuu kweli mpaka leo hujui namna ya kuzugia isionekane imesimama kweli???
Kabisa bibi, sogea huku nikupe ukuni madhubuti, wenye moto wa kutosha kuivisha vya kwenye chunguKila siku nasonga ugali wa motooo, mwiko wangu ni imara unanisongesha vyema [emoji39]
Kabisa bibi, sogea huku nikupe ukuni madhubuti, wenye moto wa kutosha kuivisha vya kwenye chungu
Gari bovu huvutwa na zima.[emoji23]
Hahaa... Bibi funika paja, mkwaju waja.Weeeh ukuni wa babu unakomboleza ukoko woooteeeee...
Nitake nini tena mie, akuuuu[emoji28][emoji28]
Hahaa... Bibi funika paja, mkwaju waja.
[emoji3][emoji3]
Wacha ukeshe humo humo, mkwaju wenyewe haupendi kulala.Mkwaju unakesha humohumo siuchomoi.....
Huyu bibi kizee noma kwel kwel . Anazeeka vibaya😇🤣Mkwaju unakesha humohumo siuchomoi.....