professional ethics
Senior Member
- Dec 24, 2023
- 108
- 350
Mimi ni Kijana wa kitanzania nipo chuo mwaka wa tatu hapa Chuo kikuu Cha Sar es Salaam.
Kutokana na tatizo la uhaba wa ajira nime develop wazo la biashara hili takapo maliza chakula;
Wazo langu nataka nifungue kampuni ya chakula yaani itakayo kuwa inajihusisha na usambaji wa chakula cha asubuhi, mchana, na jion kwa watu binafsi na ofisi za umma, tena Kwa order. Ambapo plan yangu chakula kitakuwa affordable na high quality.
Pia nataka niwe supplier wa mbogamboga za majani kwenye nyumba za watu, ila vegetables hizo takuwa nafanya good packing na takuwa na ongeza value.
Naombeni muongozo wakuu mwenye experience na hii kitu