Nipeni muongozo kaka, dada ,baba na mama zangu

professional ethics

Senior Member
Joined
Dec 24, 2023
Posts
108
Reaction score
350
Mimi ni Kijana wa kitanzania nipo chuo mwaka wa tatu hapa Chuo kikuu Cha Sar es Salaam.

Kutokana na tatizo la uhaba wa ajira nime develop wazo la biashara hili takapo maliza chakula;

Wazo langu nataka nifungue kampuni ya chakula yaani itakayo kuwa inajihusisha na usambaji wa chakula cha asubuhi, mchana, na jion kwa watu binafsi na ofisi za umma, tena Kwa order. Ambapo plan yangu chakula kitakuwa affordable na high quality.

Pia nataka niwe supplier wa mbogamboga za majani kwenye nyumba za watu, ila vegetables hizo takuwa nafanya good packing na takuwa na ongeza value.

Naombeni muongozo wakuu mwenye experience na hii kitu
 
Hizo zote ni good ideas na zinafanyiwa kazi

Ushauri wangu

Chagua specific kitu kimoja unachokitamani/kukipenda
Tafuta watu wanafanya icho kitu
Omba ufanye nao kama learning part/internship
Then utajifunza mengi inshort time

Be specific kwa mwanzoni then mbeleni utamultiply accordingly

Pia punguza matarajio to 0% hii itakusaidia kuwa na moyo wa kujifunza na kukubali changamoto zitazojitokeza

Baba Nla🚀
 
Mimi ni Kijana wa kitanzania nipo chuo mwaka wa tatu hapa Chuo kikuu Cha Sar es Salaam.

Kutokana na tatizo la uhaba wa ajira nime develop wazo la biashara hili takapo maliza chakula;

Wazo langu nataka nifungue kampuni ya chakula yaani itakayo kuwa inajihusisha na usambaji wa chakula cha asubuhi, mchana, na jion kwa watu binafsi na ofisi za umma, tena Kwa order. Ambapo plan yangu chakula kitakuwa affordable na high quality.

Pia nataka niwe supplier wa mbogamboga za majani kwenye nyumba za watu, ila vegetables hizo takuwa nafanya good packing na takuwa na ongeza value.

Naombeni muongozo wakuu mwenye experience na hii kitu
Unasinzia? Umelala? Au unaota? Anayejua "ndoto_dreams" ni mwenyewe! Sasa unatuambia tukusaidieje?
 
Back
Top Bottom