Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Mkuu vipimo vipo, mara nyingi tunatumia kikombe cha chaiDawa za kienyeji hizi za bila vipimo zimeua figo za watu sana.
Unakumbuka kikombe cha Babu wa Loliondo 🤪
Mkuu vipimo vipo, mara nyingi tunatumia kikombe cha chaiDawa za kienyeji hizi za bila vipimo zimeua figo za watu sana.
Hicho siyo kipimo sahihi.Mkuu vipimo vipo, mara nyingi tunatumia kikombe cha chai
Unakumbuka kikombe cha Babu wa Loliondo 🤪
Dawa za kienyeji changamoto yake ni kukosekana kwa vipimo sahihiHicho siyo kipimo sahihi.
Inatakiwa ujue quantity ambayo haitodhulu mwili wako...Hii utajua endapo ukipima kikombe kina grams(quanity) ngapi kwanza.
Bwashee konyagi tena?+matunda hasa matango , na konyagi .
Kama hataki dawa , na huo uchafu kam umesababishwa na bacteria inabidi ashushie na nyangi bwashee ili vifeBwashee konyagi tena?
Uchinjaji wa waziwazi huu!+matunda hasa matango , na konyagi .
hlf watu wengine masnich sana yaani mm sikukwambia nataka kushauriwa kuwa ninywe dawa au nisinywe nimesema sitaki dawa wewe km ungekuwa huna cha unachokijua khs ilo ungenyamaza sio kunishaurihehe! watanzania kama nyinyi ndio huwa mnastahiri kupigwa mfe daktari kakupima kagundua tatizo kakuambia uchukue dawa na hautaki unakuja humu kutafuta dawa tena!!!! nina kila haja yakukuita zwazwa.
Yaani ni zaidi ya serious unaiyosemaEty yupo seriously hataki kutumia dawa 🤓🤓🤓🙌🙌🙌
Kusafisha njia (mfumo) wa mkojo siyo kusafisha mkojoNimeambiwa mkojo mchafu kidog0, nimeandikiwa dawa ila kwa kweli sijanunua izo dawa nipeni tu njia za kusafisha mkojo kama zipo.
😂😂😂😂😂Tatizo mnazibua mifereji sana bila gloves na miuchafu yote ile
Unapenda haya mambo bro😆😆😂😂😂😂😂
Mie au wee, 😂😂😂😂😂Unapenda haya mambo bro😆😆
Si bora asingeenda kupimahehe! watanzania kama nyinyi ndio huwa mnastahiri kupigwa mfe daktari kakupima kagundua tatizo kakuambia uchukue dawa na hautaki unakuja humu kutafuta dawa tena!!!! nina kila haja yakukuita zwazwa.
Look at you my mammy..Tumia dawa ulizoandikiwa na daktari, hasa kama ni antibiotics maana hapo inamaanisha tayari una infection.
Kunywa maji mengi ni moja ya kinga za kutopata maambukizi ya njia ya mkojo ila kama umeshayapata, maji hayatakutibu. Worst case, usipojitibu ugonjwa unaweza kuwa mkubwa hadi ukaathiri figo zako.
Una shida ww si bure...Yaani ni zaidi ya serious unaiyosema