Nipeni njia ya kusafisha mkojo bila kutumia dawa

Kwa kifupi una UTI
Punguza kuzibua mitaro.
 
Mkuu, mkojo wenyewe ni uchafu. Sasa hizo habari za kusema mkojo ni mchafu, hii ina maanisha nini?
 
KUNYWA MKOJO WAKO WA KWANZA ASBH KABLA YA SAA MOJA ROBO KIKOMBE WEKA NA LIMAO NA CHUMVI MAWE NA KITUNGU SAUMU NA TANGAWIZI CHANGANYA USIFIKIRIW UKINYWA NIPE MATOKEO
 
KUNYWA MKOJO WAKO WA KWANZA ASBH KABLA YA SAA MOJA ROBO KIKOMBE WEKA NA LIMAO NA CHUMVI MAWE NA KITUNGU SAUMU NA TANGAWIZI CHANGANYA USIFIKIRIW UKINYWA NIPE MATOKEO
Ciku saba

Huku maji kwa wingi ltr 2 nk ♥️ ❤️
 
hehe! watanzania kama nyinyi ndio huwa mnastahiri kupigwa mfe daktari kakupima kagundua tatizo kakuambia uchukue dawa na hautaki unakuja humu kutafuta dawa tena!!!! nina kila haja yakukuita zwazwa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…