SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Mmoja wa wachezaji waliopewa "Thank You" pale Simba ni Mohammed Outtara. Huyu ni mchezaji ambaye kila mara watu walipokuwa wakiongelea wachezaji wabovu waliopo Simba na huyu alikuwa anatajwa na sijawahi kuelewa kwa vigezo vipi.
Najua wengi wana refer mechi ya Simba na Yanga nadhani itakuwa ya Ngao ya Jamii na kiukweli sina kumbukumbu sana kwamba alikuwa na performance mbovuuuu kiasi hicho.
Mimi niliendelea kumfuatilia katika kila mechi aliyopangwa msimu huu na kwa kweli sikuwahi kumuona kama ni mchezaji mzigo. Kwa upande wangu nilimuona kama ni mlinzi wa kisasa anayetumia akili kuliko nguvu.
Nadhani kilichomkwamisha ni kuletwa pale Simba kwa pendekezo la kocha Zoran ambaye hakukaa wala kuondoka kwa amani pale Simba ila siwezi kukubaliana na sababu ya uwezo wake.
Niambieni game gani ulimuona akicheza ukasema Outtara ni mbovu na aliicost vipi timu.