Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Umemaliza kila kituAnakabia macho
Hana kasi
Haruki vichwa
Ni mzito mno
Sio defender mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kila kituAnakabia macho
Hana kasi
Haruki vichwa
Ni mzito mno
Sio defender mzuri
Yule mjinga sana tena sana anakabia macho hakuna mechi ilitukela Wana kunyasi kama ngao ya jamii anamuangalia mayele kama dada yake ,mechi zote za derby alizocheza josh na inonga ujinga huo haujawai kutokea.Mmoja wa wachezaji waliopewa "Thank You" pale Simba ni Mohammed Outtara. Huyu ni mchezaji ambaye kila mara watu walipokuwa wakiongelea wachezaji wabovu waliopo Simba na huyu alikuwa anatajwa na sijawahi kuelewa kwa vigezo vipi.
Najua wengi wana refer mechi ya Simba na Yanga nadhani itakuwa ya Ngao ya Jamii na kiukweli sina kumbukumbu sana kwamba alikuwa na performance mbovuuuu kiasi hicho.
Mimi niliendelea kumfuatilia katika kila mechi aliyopangwa msimu huu na kwa kweli sikuwahi kumuona kama ni mchezaji mzigo. Kwa upande wangu nilimuona kama ni mlinzi wa kisasa anayetumia akili kuliko nguvu.
Nadhani kilichomkwamisha ni kuletwa pale Simba kwa pendekezo la kocha Zoran ambaye hakukaa wala kuondoka kwa amani pale Simba ila siwezi kukubaliana na sababu ya uwezo wake.
Niambieni game gani ulimuona akicheza ukasema Outtara ni mbovu na aliicost vipi timu.
Moja ya makosa makubwa yanayofanywa na watu wa Simba ni kusikiliza na kuzingatia kelele bila kuangalia anasema nani. Watu wa Yanga hawawezi kuwa na jema dhidi ya Simba, wakikosoa wanaweza kuwa wanaendeshwa na wivu dhidi ya wanachokiona na siyo ubovu kama wanavyodai. Ndiyo maana mchezaji watamuita mbovu, akihamia kwao wanamuimba. Greatest Of All Time huyo mtu uliyemuunga mkono hoja yake ni uto lia lia, hawana jema hao.Umemaliza kila kitu
Alaa kumbeMoja ya makosa makubwa yanayofanywa na watu wa Simba ni kusikiliza na kuzingatia kelele bila kuangalia anasema nani. Watu wa Yanga hawawezi kuwa na jema dhidi ya Simba, wakikosoa wanaweza kuwa wanaendeshwa na wivu dhidi ya wanachokiona na siyo ubovu kama wanavyodai. Ndiyo maana mchezaji watamuita mbovu, akihamia kwao wanamuimba. Greatest Of All Time huyo mtu uliyemuunga mkono hoja yake ni uto lia lia, hawana jema hao.