Nipeni tathmini za performance ya Mohammed Outtara akiwa pale Simba na sababu za kumuita mbovu

Yule mjinga sana tena sana anakabia macho hakuna mechi ilitukela Wana kunyasi kama ngao ya jamii anamuangalia mayele kama dada yake ,mechi zote za derby alizocheza josh na inonga ujinga huo haujawai kutokea.
 
Umemaliza kila kitu
Moja ya makosa makubwa yanayofanywa na watu wa Simba ni kusikiliza na kuzingatia kelele bila kuangalia anasema nani. Watu wa Yanga hawawezi kuwa na jema dhidi ya Simba, wakikosoa wanaweza kuwa wanaendeshwa na wivu dhidi ya wanachokiona na siyo ubovu kama wanavyodai. Ndiyo maana mchezaji watamuita mbovu, akihamia kwao wanamuimba. Greatest Of All Time huyo mtu uliyemuunga mkono hoja yake ni uto lia lia, hawana jema hao.
 
Alaa kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…