N Naamans.kg Senior Member Joined Jan 28, 2013 Posts 124 Reaction score 17 Mar 7, 2013 #1 Kuna maneno mengine tunayatumia kila kukicha bila kujua maana halisi..! Mf;.mtu akiwa na furaha hutabasam na kucheka..na mtu akicheka huashiria furaha...$o ipi tofauti ya kucheka na kufurahi.!?
Kuna maneno mengine tunayatumia kila kukicha bila kujua maana halisi..! Mf;.mtu akiwa na furaha hutabasam na kucheka..na mtu akicheka huashiria furaha...$o ipi tofauti ya kucheka na kufurahi.!?