nipeni ufafanuzi wa kikatiba juu ya uhalali wa shein kuendelea kuwa rais zanzibar

nipeni ufafanuzi wa kikatiba juu ya uhalali wa shein kuendelea kuwa rais zanzibar

Rais mpya wa znz bado kuapishwa hivyo rais shein ataendelea mpaka atakapochaguliwa rais mpya na kuapishwa kuwa rais wa znz
 
Katiba ya Zenji ina utata sana!
Shein bado ni rais mpaka atakapoapishwa raia anayefuata!
Ila mkanganyiko uliopo, endapo kuna hitilafu ktk uchaguzi wa Zenji, katiba haisemi nini kifanyike, maana Jeche hajaruhusiwa mahali popote kufuta uchaguzi, sasa endapo hali kama hii ya ya kura kuchakachuliwa itatokea maana yake katiba inaruhusu uchaguzi uendelee tu hata kama ni mchafu, hamna aliyepewa mamlaka ya kuufuta na katiba.

ILA KWENYE SHERIA PIA WANASEMA, WHAT IS NOT PROHIBITED, then it's allowed!
 
Back
Top Bottom