Katiba ya Zenji ina utata sana!
Shein bado ni rais mpaka atakapoapishwa raia anayefuata!
Ila mkanganyiko uliopo, endapo kuna hitilafu ktk uchaguzi wa Zenji, katiba haisemi nini kifanyike, maana Jeche hajaruhusiwa mahali popote kufuta uchaguzi, sasa endapo hali kama hii ya ya kura kuchakachuliwa itatokea maana yake katiba inaruhusu uchaguzi uendelee tu hata kama ni mchafu, hamna aliyepewa mamlaka ya kuufuta na katiba.
ILA KWENYE SHERIA PIA WANASEMA, WHAT IS NOT PROHIBITED, then it's allowed!