Nipeni uhakika wa hii kauli

Nipeni uhakika wa hii kauli

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
Wash'kaji eeeeeeeh!

Huku kitaani kwetu pande za pugu_kajiungeni kuna mtoto ni pini matata sana, kwa mwonekano, na kitabia pia (kwa mujibu wa majirani & wengine wanaomfaham').
_
Ni mweupeeeeeeee kama #salama_jabir , halafu kajazia kama #dina_various , ana figa matata over #rose_ndauka ,
na sura ya upole kama ya #wastara. na anavaa mavazi ya stara na anajiheshimu kimwonekano!

So nimepiga tongozo kwa miezi takribani kadhaa, hatimaye imekaa vema!
___
Kisha nikawashirikisha baadhi ya wadau wanipe nasaha zao kuhusu fikra zangu za kutaka kutangaza ndoa kabisa kwa huyu mtoto!

Wamenipa nasaha nyingi sana, na sanasana wamejikita kwenye kuniasa juu ya kuwa mvumilivu sana kwenye ndoa. nimejipima nikaona nitajitahidi kuzimudu!
_

Sasa kuna mdau mmoja kaniita pembeni, akaongea kwa hisia kali sana, yaani zile hisia za moyoni na za ndani kabisa, kaniambia

"Sikiliza seneta_Wa_Mtwiz, Wengi Wamekusisitiza Juu ya Uvumilivu, Ila Kuna Kitu Wanazungukazunguka Kukwambia. Miye Nakwambia Ukweli Mdogo Wangu, Kwa Jinsi Hali Ilivyo Kwa Sasa
#HAKUNA_MKE_WAKO_PEKE_YAKO.

Yaani Hata Iwe Vipi, Kuna Time Lazima Wana
#WATABEBA_GOMA_TU!

Hivyo, Huo Nd'o Uvumilivu Mkubwa Unaotakiwa Kuwa Nao Mdogo Wangu!

Miye Nakupenda Nd'o Maana Nakwambia Hivyo!"

Daaaah!!!

Ghafla moyo ukafanya phaaah!!!!!"

Nikamuuliza,

"Brother, Upo Siriyaz?????!!!!! Haya Sasa Masihara, Ngoja Nirudi Mtwara, Nikayapange MASUALA!"

Akaniambia,

hata uende kwenu mtwara, hali ni ileile, kwa wasichana wooooooooooote wa zama hizi nchi hii, hakuna wako peke yako, lazima kuna wana watakuwa wanakuzima siku moja moja, hata hiyo ndoa iwe ya kufungwa kwa nyororo muwe nyote kila mwendako kiasi gani!
_
nikamuuliza

"Kwa Nini??"

AKASEMA,
"Kama Tu Kuna Mtu Alianza 'Kupima_Oil' Huyo Msichana, Kabla Hujaoa, Basi Lazima Oil Itaja Pimwa Tena Hata Baadae Hata na Mtu Mwingine Wakati Kaolewa!
_
Hiyo Haijalishi Kabila, Ukoo, Mkoa, Kanda wala Itikadi kwa Siku Hizi, Awe Amesoma, Hajasoma na Vyovyote Vile- Oil Itapimwa Tu!"

JAMAA AKASEPA, AKISEMA

"Trust Me! Nimemaliza!"
_
Sasa wadau nahisi kama hii hela niliyodunduliza nilokuwa nataka nikatoe mahari, bora niongezee tu mradi wangu wa kuuza soksi za pundamilia kwa bei ya rejareja!

Vinginevyo, mliopo kwenye ndoa, wake kwa waume, nipeni uzoefu fasta labda nitabadili maamuzi!
 
Waje wakuambie kuwa wenza wao wanachepuka? Utasubiri sana
 
Hujatulia tulia huyu jamaa mapepe mapepe samahani lkn.

Ila nikijuze kitu ukiamua kufanya lako usiangalie nyuso za watu ww fanya tu point za watu ukizibeba sana hautafanya lako ni sawasawa kuogopa kuoa eti kisa unaogopa kuja kufa karibuni watu watakula mali yako.

Mwanamme alie kamilika lazima aoe na awe na familia ukikimbia leo majukumu utalifanya mwaka wowote umri unaenda lkn
 
" girls are like mangoes while u a waiting them to be ripe others are eating them with salt."

acha uchoyo kizuri kula na nduguyo. Ahaaaaa! Kiding mwaya!
 
ukiwachunguza sana huwezi kuoa fanya maamuz magumu fumba macho chukua mzigo huo weka ndani mengine anajua Mungu
 
Umri wa kuoa siku hizi umesogea mpaka miaka ya 35-40 tengeneza life kwanza jipigie weee mpaka uchoke alaf tulia sasa tafuta tafuta mwanamke wa makamo lazma atakuwa kapita ulipopita wewe mchukue anzeni kutengeneza familia
 
Wash'kaji eeeeeeeh!

Huku kitaani kwetu pande za pugu_kajiungeni kuna mtoto ni pini matata sana, kwa mwonekano, na kitabia pia (kwa mujibu wa majirani & wengine wanaomfaham').
_
Ni mweupeeeeeeee kama #salama_jabir , halafu kajazia kama #dina_various , ana figa matata over #rose_ndauka ,
na sura ya upole kama ya #wastara. na anavaa mavazi ya stara na anajiheshimu kimwonekano!

So nimepiga tongozo kwa miezi takribani kadhaa, hatimaye imekaa vema!
___
Kisha nikawashirikisha baadhi ya wadau wanipe nasaha zao kuhusu fikra zangu za kutaka kutangaza ndoa kabisa kwa huyu mtoto!

Wamenipa nasaha nyingi sana, na sanasana wamejikita kwenye kuniasa juu ya kuwa mvumilivu sana kwenye ndoa. nimejipima nikaona nitajitahidi kuzimudu!
_

Sasa kuna mdau mmoja kaniita pembeni, akaongea kwa hisia kali sana, yaani zile hisia za moyoni na za ndani kabisa, kaniambia

"Sikiliza seneta_Wa_Mtwiz, Wengi Wamekusisitiza Juu ya Uvumilivu, Ila Kuna Kitu Wanazungukazunguka Kukwambia. Miye Nakwambia Ukweli Mdogo Wangu, Kwa Jinsi Hali Ilivyo Kwa Sasa
#HAKUNA_MKE_WAKO_PEKE_YAKO.

Yaani Hata Iwe Vipi, Kuna Time Lazima Wana
#WATABEBA_GOMA_TU!

Hivyo, Huo Nd'o Uvumilivu Mkubwa Unaotakiwa Kuwa Nao Mdogo Wangu!

Miye Nakupenda Nd'o Maana Nakwambia Hivyo!"

Daaaah!!!

Ghafla moyo ukafanya phaaah!!!!!"

Nikamuuliza,

"Brother, Upo Siriyaz?????!!!!! Haya Sasa Masihara, Ngoja Nirudi Mtwara, Nikayapange MASUALA!"

Akaniambia,

hata uende kwenu mtwara, hali ni ileile, kwa wasichana wooooooooooote wa zama hizi nchi hii, hakuna wako peke yako, lazima kuna wana watakuwa wanakuzima siku moja moja, hata hiyo ndoa iwe ya kufungwa kwa nyororo muwe nyote kila mwendako kiasi gani!
_
nikamuuliza

"Kwa Nini??"

AKASEMA,
"Kama Tu Kuna Mtu Alianza 'Kupima_Oil' Huyo Msichana, Kabla Hujaoa, Basi Lazima Oil Itaja Pimwa Tena Hata Baadae Hata na Mtu Mwingine Wakati Kaolewa!
_
Hiyo Haijalishi Kabila, Ukoo, Mkoa, Kanda wala Itikadi kwa Siku Hizi, Awe Amesoma, Hajasoma na Vyovyote Vile- Oil Itapimwa Tu!"

JAMAA AKASEPA, AKISEMA

"Trust Me! Nimemaliza!"
_
Sasa wadau nahisi kama hii hela niliyodunduliza nilokuwa nataka nikatoe mahari, bora niongezee tu mradi wangu wa kuuza soksi za pundamilia kwa bei ya rejareja!

Vinginevyo, mliopo kwenye ndoa, wake kwa waume, nipeni uzoefu fasta labda nitabadili maamuzi!

Senetaaaaaa wa mtwz

My classmate...udsm 2015,
 
Back
Top Bottom