Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Wash'kaji eeeeeeeh!
Huku kitaani kwetu pande za pugu_kajiungeni kuna mtoto ni pini matata sana, kwa mwonekano, na kitabia pia (kwa mujibu wa majirani & wengine wanaomfaham').
_
Ni mweupeeeeeeee kama #salama_jabir , halafu kajazia kama #dina_various , ana figa matata over #rose_ndauka ,
na sura ya upole kama ya #wastara. na anavaa mavazi ya stara na anajiheshimu kimwonekano!
So nimepiga tongozo kwa miezi takribani kadhaa, hatimaye imekaa vema!
___
Kisha nikawashirikisha baadhi ya wadau wanipe nasaha zao kuhusu fikra zangu za kutaka kutangaza ndoa kabisa kwa huyu mtoto!
Wamenipa nasaha nyingi sana, na sanasana wamejikita kwenye kuniasa juu ya kuwa mvumilivu sana kwenye ndoa. nimejipima nikaona nitajitahidi kuzimudu!
_
Sasa kuna mdau mmoja kaniita pembeni, akaongea kwa hisia kali sana, yaani zile hisia za moyoni na za ndani kabisa, kaniambia
"Sikiliza seneta_Wa_Mtwiz, Wengi Wamekusisitiza Juu ya Uvumilivu, Ila Kuna Kitu Wanazungukazunguka Kukwambia. Miye Nakwambia Ukweli Mdogo Wangu, Kwa Jinsi Hali Ilivyo Kwa Sasa
#HAKUNA_MKE_WAKO_PEKE_YAKO.
Yaani Hata Iwe Vipi, Kuna Time Lazima Wana
#WATABEBA_GOMA_TU!
Hivyo, Huo Nd'o Uvumilivu Mkubwa Unaotakiwa Kuwa Nao Mdogo Wangu!
Miye Nakupenda Nd'o Maana Nakwambia Hivyo!"
Daaaah!!!
Ghafla moyo ukafanya phaaah!!!!!"
Nikamuuliza,
"Brother, Upo Siriyaz?????!!!!! Haya Sasa Masihara, Ngoja Nirudi Mtwara, Nikayapange MASUALA!"
Akaniambia,
hata uende kwenu mtwara, hali ni ileile, kwa wasichana wooooooooooote wa zama hizi nchi hii, hakuna wako peke yako, lazima kuna wana watakuwa wanakuzima siku moja moja, hata hiyo ndoa iwe ya kufungwa kwa nyororo muwe nyote kila mwendako kiasi gani!
_
nikamuuliza
"Kwa Nini??"
AKASEMA,
"Kama Tu Kuna Mtu Alianza 'Kupima_Oil' Huyo Msichana, Kabla Hujaoa, Basi Lazima Oil Itaja Pimwa Tena Hata Baadae Hata na Mtu Mwingine Wakati Kaolewa!
_
Hiyo Haijalishi Kabila, Ukoo, Mkoa, Kanda wala Itikadi kwa Siku Hizi, Awe Amesoma, Hajasoma na Vyovyote Vile- Oil Itapimwa Tu!"
JAMAA AKASEPA, AKISEMA
"Trust Me! Nimemaliza!"
_
Sasa wadau nahisi kama hii hela niliyodunduliza nilokuwa nataka nikatoe mahari, bora niongezee tu mradi wangu wa kuuza soksi za pundamilia kwa bei ya rejareja!
Vinginevyo, mliopo kwenye ndoa, wake kwa waume, nipeni uzoefu fasta labda nitabadili maamuzi!