kimara Kimara
Senior Member
- Jul 7, 2024
- 141
- 287
fundi unae anayeweza kukufanyia Kwa usahihi?Mambo vipi wakuu, Nipeni ushauri nimefikia hatua ya kujenga karo la choo.
Je ni Shimo lipi linafaa kwenye ardhi ya Udongo wa kichanga (SAND SOIL) kati ya Lile la kisasa lisilojaa ama yaja yetu ya kawaida.
Kuna Uzi humu (MODERATORS NAOMBA MUUSHUKIZE) Ulikua inaongelea hasara za mashimo ya kisasa kwamba ukikosea utaingia gharama mara mbili and soo
Pia soma Mfumo huu wa utengenezaji wa shimo la choo una changamoto/faida gani?
View attachment 3396387
Haha nilichimba la kawaida na fundi alikosea akavuka mipaka akaingia kwa jirani. Yani Balaawamesepaaaa wotee mmh
ikawaje sasa.Haha nilichimba la kawaida na fundi alikosea akavuka mipaka akaingia kwa jirani. Yani Balaa
Gharama zenu zikoje kwenye ujenzi huu?Eneo lenye kichanga jenga mashimo ya kisasa.....Yanapunguza gharama mno tofauti na mashimo ya zamani! Yanachukua eneo dogo tofauti na mashimo ya zamani! Yanatunzika kirahisi kuliko mashimo ya zamani kama maji ya jikoni na bafuni na shower zote utayaelekeza kwenye shimo la mawe!
Kwa ujenzi wa mashimo ya kisasa na Ya zamani! Karibu nikuhudumie!
0789005562
Wiki hii nina offer!
Usasa wake ni upi hapa,,Mana linatumia the same methodology ya soakaway pit / pit latrine...Mambo vipi wakuu, Nipeni ushauri nimefikia hatua ya kujenga karo la choo.