Nipeni ushauri kwa hawa wanawke watatu

achana na wote, wasababu kama vile wewe ulivyo na watatu, wao pia wanao watatu watatu kila mmoja na wameenda kuuliza maswali kwa wengine kama wakutupe wewe au vipi kwasababu wapo wanaume wengine wanaowapenda zaidi yako, na wenye akili za maisha kuliko wewe unayetegemea akili za maisha...we mnama vipi bwana, watu wasotoka kwenye mlima mrefu kuliko wote africa mara zingine hawana akili.
 
Bro awa wengine wanao watu wao ila wamawsema kuwa wanataka kuwaacha ili wawe nami,ila nashindwa kuwajibu maana naona ntamuumiza mamaaa...

Kweli kila mtu anapewa anaefanana nae?Kumbe nao ni hovyo?Chukua cheater mmoja ili mkamilishane!
 
...ushauri wangu kwako, achana nao wote watatu, kwani wote unawadanganya.
Utapokuwa tayari kuoa, tafuta mwanamke utayekuwa mkweli kwake.


bora niwaache wawl nibakiwe na mmoja,
 


ilo neno lako ni point
 
kaka umunganishwa kwenye mtandao wa ajabu wewe una watatu unawapima girlfriend wako wa kwanza na yeye ana wawili wengine na wewe ni watatu anawapima wa pili na yeye ana wawili na wewe wa tatu anakupimeni na watatu vivyo hivyo so usijione rijali hapo wooote wajanja mnapimana tuuuu hahahaaaa
 
Una pepo la ngono wewe sio bure wanawake watatu wote wa kazi gani?? Unawauza kama biashara sokoni au ni nini??? Jamani wanaume wengine sijui mmeumbwaje nashindwa kuelewa kabisa.

Haya mie yangu macho ya kuangalia screen kile kitakachojili baada ya hii
 
Unatafuta balaa, kwa nini usitulie na huyo uliyeanza naye? umeona mapungufu yake kwa kuwa umekuwa naye muda mrefu, hao unaowakimbilia wanakupa mapenzi ya uongo hujui nao watakuwaje baada ya muda fulani, bora zimwi ulijualo kuliko unalokutana nalo mstuni! by the way unawezaje kukaa na mwanamke asiye wako for so long bila kuhalalisha ndoa? you are in trouble!
 
WanaJF nashukuru wote mlotoa coments na wengine mtakaoendlea kutoa, nahaidi mapema iwezekanavyo ntakua mpya.. Ntaendelea na wangu mamaaa, ao wengne ndo itakua mwisho.
Nmepata chalenges nying umu, na zimenisaidia.. Samahann kwa njia ya uovu nlopita
 
Nakuona hauko serious nadhani vuta subira Mungu atakusaidia kukuonyesha anaye kufaa utakapo kuwa na nia ya dhati na kumuomba Mungu.
 

And you wonder why AIDS kills a lot of youngsters!!!Amazing!Tulia acha mapepe.Ambao wanakujali watakwambia ukweli lakini wale ambao nao wana wapenzi zaidi ya mmoja watashabikia.Tembea uone jinsi gani vijana wanavyokufa kwa Ukimwi.What surprises me is those girls you mentioned that are still in their respective relationships with their guys.Tunakufa vijana.
 
Sijasoma umendikaje kuhusu hao ma demu zako, ila ushauri wangu ni kwamba, unapo taka kuoa lazima ujitoe mhanga kwa ajili ya watoto wako, maana ndio utawaleta duniani ambako kuna shida na raha.
Kwa kufahamu hilo , hapo unatakiwa uoe mwanamke mwenye uwezo wa kuleta mahitaji nyumbani, kwa maana hiyo lazima awe msomi au mwenye kipaji cha biashara, kwasababu hatutaki kuona pale mzazi mmoja anapo fariki basi fammilia nayo ina ingia matatizoni sababu ya mmoja wa mzazi aliye baki ni hana msaada wowote kwa watoto walio achwa .
Kwahili na shauri tusahau mapenzi ( kwani ni uchoyo wa kujijali wenyewe) , tuangalie jinsi ya kuleta viumbe duniani na kuwalea na kuwakuza kwa kuwapatia mahitaji yote muhimu na hapo ndio hatutakua wachoyo sababu ya kuamua kujitoa mhanga sababu ya watoto wetu.
 


kiukwel uyu mamaaa yeye sijamjua vizuri sababu ndio mdogo kuliko wote, anatarajiam kuanza chuo mwaka huu, na anao uwezo mzuri tu wa masomo, hivyo anafaa kwa future,

mwingine yeye anamaliza chuo ila kwa vigezo ulivyovitoa apo juu yeye nampa 100%,

mwingine uyu mzuriii yeye ni maneno sijamfaam vizuri maana hayupo wazi kivile, ila ndo anataka 2zae mapeema ili yeye awe na uhakika.. nae anamaliza chuo mwaka huu, ila ndo nipo nae karbu na hapa ninapoishi na yeye ndo tunaonana kila siku

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…