Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Yani, hii kwangu mimi ni kichefuchefu haswaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
mi mwenyewe je! Hadi nahisi kuharisha badala ya kutapika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani, hii kwangu mimi ni kichefuchefu haswaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
waache wote njo kwangu.
Aisee hizi makitu nyingine kama hamziwezi mtuachie wenyewe, yaani we totoz tatu tu unakuja humu kusumbua watu pambaf....................
Bro awa wengine wanao watu wao ila wamawsema kuwa wanataka kuwaacha ili wawe nami,ila nashindwa kuwajibu maana naona ntamuumiza mamaaa...
achana na wote, wasababu kama vile wewe ulivyo na watatu, wao pia wanao watatu watatu kila mmoja na wameenda kuuliza maswali kwa wengine kama wakutupe wewe au vipi kwasababu wapo wanaume wengine wanaowapenda zaidi yako, na wenye akili za maisha kuliko wewe unayetegemea akili za maisha...we mnama vipi bwana, watu wasotoka kwenye mlima mrefu kuliko wote africa mara zingine hawana akili.
wengine sijawataja sababu sioni kama wana vigezo, ila ao watatu ndo wananiumiza
WADAU hali zenu???
nina gf wangu tupo nae zamani, ila apa miezi michache nimekuwa na uhusiano na wengine kwa mda huu, yan ni kweli nawapenda nao wanakubali kuwa nawapenda na wapo tayari kuwaacha wa kwao ili wawe nami, ili wao wanawaswas kama nawadanganya sababu uyu GF wangu nipo nae muda mrefu..
Kiukweli kuna uyu GF mmoja wa nje ana vigezo vyoote abavyo mi navitaka na ninamkubali sana hata katika mambo ya maisha ya baadae yani ni mshauri mzuri.
mwingine yeye ndo mruri balaa ila mjanja japo ana upendo kama wengine ila yeye tukiwa nae kwenye simu wanampigia kila mara kumtongoza japo ana msimamo,ila was wangu ktk 10 wanaomtongoza hivi ata mmoja hatamkubalia???
Uyu GF mwenyewe"mamaa' yeye haeleweki yan anfata tu kila nsemacho wkt inabid awe mshauri pia... yan yupo yupo na ndo ana upendo kuliko woooote.
SASA NAITAJI USHAURI WENU WADAU
Sijasoma umendikaje kuhusu hao ma demu zako, ila ushauri wangu ni kwamba, unapo taka kuoa lazima ujitoe mhanga kwa ajili ya watoto wako, maana ndio utawaleta duniani ambako kuna shida na raha.
Kwa kufahamu hilo , hapo unatakiwa uoe mwanamke mwenye uwezo wa kuleta mahitaji nyumbani, kwa maana hiyo lazima awe msomi au mwenye kipaji cha biashara, kwasababu hatutaki kuona pale mzazi mmoja anapo fariki basi fammilia nayo ina ingia matatizoni sababu ya mmoja wa mzazi aliye baki ni hana msaada wowote kwa watoto walio achwa .
Kwahili na shauri tusahau mapenzi ( kwani ni uchoyo wa kujijali wenyewe) , tuangalie jinsi ya kuleta viumbe duniani na kuwalea na kuwakuza kwa kuwapatia mahitaji yote muhimu na hapo ndio hatutakua wachoyo sababu ya kuamua kujitoa mhanga sababu ya watoto wetu.