Ally Abdulrahman
Senior Member
- Mar 28, 2015
- 194
- 312
Inabidi useme unataka kulima nini, then ndio upewe locations.Habari zenu wakuu.
Natak nifanya kilimo Biashara lakini nahitaji eneo kubwa Sana. Je, mnanishauri nianzie wapi kwa wazoefu au wenye uelewa.
Nahitaji ekari Zaidi ya 50.
Hapo ndipo unapokosea mkuu. Hayo mazao uliyotaja ni nadra yote kustawi kwenye Hali ya hewa ya aina moja, japo yapo ambayo yanaendana.Tofauti tofauti. Nafaka Kam vile mahindi,Ufuta, Mpunga. Maharage, pilipili, karoti , vitunguu. Matunda na mboga mboga .
But naamini kupata Ardhi kwnza kitu Ch msingi. Ijapokuw nikipata hat 50 kw pamoj sio mbaya.
Hizo ekari za kununua?, kilimo cha umwagiliaji?Tofauti tofauti. Nafaka Kam vile mahindi,Ufuta, Mpunga. Maharage, pilipili, karoti , vitunguu. Matunda na mboga mboga .
But naamini kupata Ardhi kwnza kitu Ch msingi. Ijapokuw nikipata hat 50 kw pamoj sio mbaya.
Ni Biashar mkuu. Investment inatak pesa Tu na wala sio kingn . So natak eneo kubw ndio maanYaani unataka ulime mazao yote hayo kwa wakati mmoja?
Hapn ndio maan natak Kujua A B Culishawahi kulima... mkuu...?
Ndio natak ninunueHizo ekari za kununua?, kilimo cha umwagiliaji?
NashukuruKupata hekari 50 kwa eneo moja sio rahisi kiivo lakini kama unataka kulima mpunga nenda katavi,sumbawanga au mbarali
Ndio maan natk eneo kwnz then nitalim kilimo Ch Biashar kulingan na eneo lenyewHapo ndipo unapokosea mkuu. Hayo mazao uliyotaja ni nadra yote kustawi kwenye Hali ya hewa ya aina moja, japo yapo ambayo yanaendana.
Kama kweli unataka kulima kibiashara, basi chagua nini unataka ulime. Ila kama ni kwa ajili ya chakula tu, it's okay unaweza lima yote hayo kwenye eneo moja.
Hpn ndio maan natk nijua A B CUmewahi lima? Tuanzie hapo