Nipeni ushauri

Mateja

Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
10
Reaction score
11
Miezi mitatu iliyopita nilianza uhusiani na binti ambaye hatujawahi kuonana mpaka leo. Tumejuana fb lakini msichana huyo ametokea kinipenda sana kiufupi amezimika namimi.

Sijawahi kumwambia kuhusu kumuoa lakini yeye amefanya namna mpaka mfumo huu wa penzi letu ukajikoki kama ni watu tutakaooana.

Amekuwa akinishauri kwa kitu na kunisiaitiza nijikite katka kumuomba Mungu. Huyu dada mimi nilimpenda lakini sikuwa na nia ya kumuoa kwa sababu mm ni mme wa mtu tiari na nilimtongoza kwa sababu ya tamaa zetu wanaume na kilichonivutia ni tabia yake yakupost san pich nzur na zinazovutia fb.

Nilianza kwa kumuomba namb fb akanipa bada ya kam wiki moja na nikawa nayo nikawa namtongoza huku akikubar kwa shngo upande. Baada ya mda alikuja nambia kuwa anmtu wake ko hatuwez kuwa wapenzi.

Mwezi wa kwanza nilipata safari ya kuenda nje ya nchi, siku moja nikaweka status pch niko ulaya hapo ndo bint akaanz kunishobokea, akaanza kunidadis nafanya kazi gani, nilikumbuka stori mona ya mshikaji wangu kuwa mwanamke wa kibongo akikuuliza masuala ya kaz mwambie ni mwanajeshnau dokta hapo utakuwa ushamumaliza kila kitu.

Basi bwan nikimdanganya mimi ni mhasibu jeshn kuanzia hapo binti akaanza kujipendekez na visms vya nimekumc, na kwakuw nilikuw namhutaj namm nikakazia, sasa penzi letu liko moto na hatujawahi kuonana lakini mimi nimetokea kumpokea Mungu na nahitaj kuach mambo ya uzinzi.

Nashindwa naman ya kumuacha bila kumuumiza kwa tiar ashanipenda san mpak imefikia kufany chochote ninachomwambia haoni shida kunitumia hata hela napokuwa namjaribu kuw nahitaj pesa lakini hata vitu vingine ambavyo ni vya chumban zaid aanafanya (sio vyema kivielezea hapa) mke wang naish nae vzur na hajui coz mm ni mtu wa kusafr sana na nipo mkoa mwingine kikazi.

Naombeni mnishauri nimuache vipi huyu dada maan amenipnda san naona kam nitamkwaza sana nikimwambia ukweli
 
Duuh itoshe kusema mthamini mke wako we jamaa unachukuaje likurumbembe la fb eti unataka kuwa nalo daaah na kama umeamua kumtumikia Mungu kiroho na kweli mtumikie 100%

Sio unaruka ruka kama chura huyo binti hakupendi bro kapenda status yako kwa vile kakuona huko Marekani na picha yako kaa chonjo ohooooo
 
Umekutana naye mtandaoni, umempenda mtandaoni, muache huko huko mtandaoni...

Mtu hujawahi kudinyana naye, hujawahi hata kuonana naye, kiungo pekee kati yenu ni mtandao...kata mawasilano.
 
Una ushahidi gan km anakupenda km unavyohs ww?

kuna wanawake apa mjini wapo radhi wapoteze hela na hat kukupa mbususu ila akija kukupiga tukio hutaamin
 
Umesema penzi lenu liko Moto na hamjawi kuonana???

Sasa unataka tukushauri nini Hadi hapo?
 
Mkuu tulia na mkeo hawa malaya ipo day watakukosti nina tukio moja hatar sana siku moja nitalianzishia uzi. Iyo mikulumbembe achana nayo kabika kwanza watakutia nuksi mwisho wa siku uone mambo yako yatavyokubumia isitoshe mtu wa mitandaoni ujawai muona sasa unapendaje kitu ambacho ujawai kukiona ndugu, kaa jenga familia yako mkuu

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Ivi unapataga wap huo mda?sema hatanihusu
 
Umekutana naye mtandaoni, umempenda mtandaoni, muache huko huko mtandaoni...

Mtu hujawahi kudinyana naye, hujawahi hata kuonana naye, kiungo pekee kati yenu ni mtandao...kata mawasilano.
Nachukua ushauri wako mkuu
 
Nashukuru mkuu
 
Una ushahidi gan km anakupenda km unavyohs ww?

kuna wanawake apa mjini wapo radhi wapoteze hela na hat kukupa mbususu ila akija kukupiga tukio hutaamin
Sina ushahid kivile mbali na kunionesha kunijali na kujiachia sana kwangu ila hata mm nikikumbuka mwanzoni alivikuwa ananikatalia na alivokuja shoboka na location tu nahis ndo wale watu wa fursa
 
Ulimdanganya kazi yako.
mdanganye tena umefukuzwa na huna kazi wala nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…