Miezi mitatu iliyopita nilianza uhusiani na binti ambaye hatujawahi kuonana mpaka leo. Tumejuana fb lakini msichana huyo ametokea kinipenda sana kiufupi amezimika namimi.
Sijawahi kumwambia kuhusu kumuoa lakini yeye amefanya namna mpaka mfumo huu wa penzi letu ukajikoki kama ni watu tutakaooana.
Amekuwa akinishauri kwa kitu na kunisiaitiza nijikite katka kumuomba Mungu. Huyu dada mimi nilimpenda lakini sikuwa na nia ya kumuoa kwa sababu mm ni mme wa mtu tiari na nilimtongoza kwa sababu ya tamaa zetu wanaume na kilichonivutia ni tabia yake yakupost san pich nzur na zinazovutia fb.
Nilianza kwa kumuomba namb fb akanipa bada ya kam wiki moja na nikawa nayo nikawa namtongoza huku akikubar kwa shngo upande. Baada ya mda alikuja nambia kuwa anmtu wake ko hatuwez kuwa wapenzi.
Mwezi wa kwanza nilipata safari ya kuenda nje ya nchi, siku moja nikaweka status pch niko ulaya hapo ndo bint akaanz kunishobokea, akaanza kunidadis nafanya kazi gani, nilikumbuka stori mona ya mshikaji wangu kuwa mwanamke wa kibongo akikuuliza masuala ya kaz mwambie ni mwanajeshnau dokta hapo utakuwa ushamumaliza kila kitu.
Basi bwan nikimdanganya mimi ni mhasibu jeshn kuanzia hapo binti akaanza kujipendekez na visms vya nimekumc, na kwakuw nilikuw namhutaj namm nikakazia, sasa penzi letu liko moto na hatujawahi kuonana lakini mimi nimetokea kumpokea Mungu na nahitaj kuach mambo ya uzinzi.
Nashindwa naman ya kumuacha bila kumuumiza kwa tiar ashanipenda san mpak imefikia kufany chochote ninachomwambia haoni shida kunitumia hata hela napokuwa namjaribu kuw nahitaj pesa lakini hata vitu vingine ambavyo ni vya chumban zaid aanafanya (sio vyema kivielezea hapa) mke wang naish nae vzur na hajui coz mm ni mtu wa kusafr sana na nipo mkoa mwingine kikazi.
Naombeni mnishauri nimuache vipi huyu dada maan amenipnda san naona kam nitamkwaza sana nikimwambia ukweli