Nipeni ustar wa JF

Nipeni ustar wa JF

Ht hapa inawezekana coz star thread NA comment zao zinafuatiliwa zaidi...... Instagram followers 100k....JF unafikiri comment au thread yako inaonwa na wangap
majina yakija mawili niuzie moja Bitoz
 
Unataka u-Star kwa jina fake ndo ujue u-Star ulivyo mtamu.

Na ndiyo maana watu wanapiga hadi picha za uchi ili mradi wawe stars.
 
Jambo moja la kujiuliza wanaokuwa mastar jf kwa michango mbalimbali je mazingira wanayoishi ni master pia? Wanamichango inayotambulika miongon mwa maeneo wanayoishi? Au ndio wanatambulika tu humu kwa fake id kwa michango yaoi ikifika kwenye mazingira wanayoishi hata hawatoi michango na hata hawatambuliki!!!!
 
Hillo nalo neno !!!!...naona wamejificha vichakani
Labda unufaika kwa kufuatwa na member wengi inbox zao kwa issue zetu zile...
 
Back
Top Bottom