Nipeni uzoefu kuhusu biashara ya mpunga

Nipeni uzoefu kuhusu biashara ya mpunga

Joined
Apr 5, 2018
Posts
15
Reaction score
6
Habari wanajamii mimi ni kijana nipo Kasulu mkoa wa Kigoma nataka kufanya biashara ya kuwa nachukua mpunga mashambani na kuja kuuza kasulu mjini ikiwezekana mwakani nianze kuulima pia mwenye uzoefu aje anijuze
 
How about ujiongeze mwenyewe.

Tembea ujue mjini ni bei gani? Usafiri utakugharimu bei gani na shamba unaupata kwa bei gani.

Afu na faida je?
 
habari wanajamii mimi ni kijana nipo kasulu mkoa wa kigoma nataka kufanya biashara ya kuwa nachukua mpunga mashambani na kuja kuuza kasulu mjini ikiwezekana mwakani nianze kuulima pia mwenye uzoefu aje anijuze
Siijui hii biashara ila naelewa ili ufanye biashara Kasulu ni vizuri ukawa mha au uwe unaongea kiha.

Kama wewe sio mha au huongei kiha, imekula kwako.

Jamaa wana ubaguzi hatari. Sahamani kama wewe ni mha.
 
Fanya utafiti wa kutosha mpunga mwingine sana mwaka huu,Bei gani kilo moja ya mpunga na kilo ya Mchele hapo kigoma.
 
Back
Top Bottom