Martin emmanuel
Member
- Apr 5, 2018
- 15
- 6
Habari wanajamii mimi ni kijana nipo Kasulu mkoa wa Kigoma nataka kufanya biashara ya kuwa nachukua mpunga mashambani na kuja kuuza kasulu mjini ikiwezekana mwakani nianze kuulima pia mwenye uzoefu aje anijuze