Martin emmanuel
Member
- Apr 5, 2018
- 15
- 6
Siijui hii biashara ila naelewa ili ufanye biashara Kasulu ni vizuri ukawa mha au uwe unaongea kiha.habari wanajamii mimi ni kijana nipo kasulu mkoa wa kigoma nataka kufanya biashara ya kuwa nachukua mpunga mashambani na kuja kuuza kasulu mjini ikiwezekana mwakani nianze kuulima pia mwenye uzoefu aje anijuze
ok asante kwa adviceHow about ujiongeze mwenyewe.
Tembea ujue mjini ni bei gani? Usafiri utakugharimu bei gani na shamba unaupata kwa bei gani.
Afu na faida je?
mimi ni muha ila nmekulia mkoanSiijui hii biashara ila naelewa ili ufanye biashara Kasulu ni vizuri ukawa mha au uwe unaongea kiha.
Kama wewe sio mha au huongei kiha, imekula kwako.
Jamaa wana ubaguzi hatari. Sahamani kama wewe ni mha.
Basi utakuwa hujaathirika.mimi ni muha ila nmekulia mkoan