Ahaaaa sawaa utanitag nioneHahaha, hizo nyimbo nyingine unazozisikia hapo mjini nime ghostwrite.
Haina tabu nitaweka halafu nitaku tag.
Kuna wakati mwingine mood inakuwa ubishani na negativity, inabidi kubadili mood, unaenda na vitu vitamu vitamu vinavyogusa mpaka uvungu wa roho.
Ngoja niuchekiiMr T touch Ft Baraka _Gimme dat.
Hii sio nyimbo ni Nyimbo iliyo kuu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba, ngoma hizi zinachoka mpk pande hizo?Raha tupu kupendana na wewe...
1:19 Kuna mtoto anapiga tonge kama mashindano, hatusemani kula lakini uzalendo umenishinda.
Mwana we acha tu.Mzee baba, ngoma hizi zinachoka mpk pande hizo?
Mtoto ana mashahiri matam sana huyu,
Sent using Jamii Forums mobile app