Nipepeee )nausikiliza kila saa kama wote

Nipepeee )nausikiliza kila saa kama wote

Raha tupu kupendana na wewe...

1:19 Kuna mtoto anapiga tonge kama mashindano, hatusemani kula lakini uzalendo umenishinda.

 
Hahaha, hizo nyimbo nyingine unazozisikia hapo mjini nime ghostwrite.

Haina tabu nitaweka halafu nitaku tag.
Kuna wakati mwingine mood inakuwa ubishani na negativity, inabidi kubadili mood, unaenda na vitu vitamu vitamu vinavyogusa mpaka uvungu wa roho.
Ahaaaa sawaa utanitag nione

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom