Nipepo au ni uraibu? Anaomba msaada

@ spiritual world 🌍 ov

SPIRITUAL WORLD 🌍 control fresh world
 
Inaitwa Gambling Addiction.ni Uraibu kama uraibu mwingine wala haiusiani na pepo.Hatua ya kwanza ni kukubali kwamba ana addiction ambayo ni ugonjwa wa akili then atafute proffesional help.
 
Mwamba kaamua kuwa Rubani πŸ€”


Noma sana hiyo
 
Kukubali kuamini kuwa huwezi kujitoa kwamba kuna nguvu yenye kuzuia wewe kujitoa basi hapo ndio anazidisha tatizo, watu wengi tunajiroga wenyewe bila kujua. Tunatengeneza wenyewe imani ambazo zinakuja kuwa vikwavyo.

Limiting belief ni tatizo kubwa sana.
 
Ngoja nirushe kandege kangu kabla ushauri wa Wananzengo haujanikatisha tamaa

Kwa nn ubet kiasi ambacho humudu kukipoteza??? Mwambie atoke usingizin. Nimenza kubet 2010 na sijawah kuwa addicted hata mara moja. Na ndio maana ninaweza kaa hata miez nane sijabeti. Na hata nikibet let say nikapata 1M huwa natoa zote naacha elfu 10 tuu hiyo ntabet buku buku mpaka mtaji utarud
 
Anasubiri kujinyonga ndio kilichobaki
 
Namimi najuaga betting Iko hvyo.Unakula unaenda kufanya mambo yako,ukiliwa unatulia. Sasa kinachoshangaza nijinsi jamaa anavyoliwa ila hakai akajitafakari badala yake anaenda kukopa pesa ili azidi kucheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…