Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Urea niliweka kidogo, imagine heka mbili niliweka kilo 13 yaan nilifanya kurushia tu, pia nauliza mpunga ukipendeza kwa mbolea unaathiri mapato?Mkuu,km ulishaweka mbolea ya UREA sikushauri kupiga booster kwasababu ni kitu kilekile, mwisho wa siku mpunga utakua Sana bila kuweka punje za mchele, kutokana na kuzidi kwa kiwango cha Nitrogen.Hivyo hutapata mavuno stahiki.Utakuwa Sana na utakuwa kijani kibichi kizuri kabisa lkn mavuno hafifu au usipate kabisa.
Ok!!!,Hicho ni kiwango kidogo, mpunga kupendeza kutokana na mbolea haiwezi kuathiri mavuno,isipokuwa km kiwango cha Nitrogen kitazidi mpunga utarefuka sana na kuwa kijani kibichi kizuri Sana lkn hautazaa vizuri.Ushauri wangu tumia SA(Sulphate of Ammonium),au NPK.Urea niliweka kidogo, imagine heka mbili niliweka kilo 13 yaan nilifanya kurushia tu, pia nauliza mpunga ukipendeza kwa mbolea unaathiri mapato?
Nashukuru kaka kwa ushauri!Ok!!!,Hicho ni kiwango kidogo, mpunga kupendeza kutokana na mbolea haiwezi kuathiri mavuno,isipokuwa km kiwango cha Nitrogen kitazidi mpunga utarefuka sana na kuwa kijani kibichi kizuri Sana lkn hautazaa vizuri.Ushauri wangu tumia SA(Sulphate of Ammonium),au NPK.
Mkuu nijuze Yala bela inakazi gani kwenye mmea na SA inakazi gani.??Changanya Yala bela na SA utanishukuru msimu ujao