Kipofu alimpiga mtu hadi kumuua akapelekwa mahakamani "HAKIMU" kwa nini umefanya ukatili wa namna hii "KIPOFU" Mheshimiwa hakimu marehemu aliniambia mwenyewe "NIPIGE UONE" kwa vile nilikuwa na hamu kubwa ya kuona nikampiga kwa nguvu zangu zote bahati mbaya akafariki. Ungekuwa wewe ndo hakimu ungefanyeje?
Via nawatakia mapunziko mema!
Blindman hakua sahihi , because the deceased hakusema "NIUUWE UONE" alisema "NIPIGE UONE" So as a Judge i sent the blindman to capital punishment or life sentence!
Blindman hakua sahihi , because the deceased hakusema "NIUUWE UONE" alisema "NIPIGE UONE" So as a Judge i sent the blindman to capital punishment or life sentence!