Nipo Arusha wapi pa kujirusha?

Tafuta mti wowote ulio karibu panda jiachie
 
Panda juu ya ghorofa lolote then jirushe tu kwa raha zako
 
Maana sio kwa jimvua hili;
Nisaidieni
Panda gari za kuelekea SAKINA, shukia Darajani, kusini utaone ghorofa refu halijakamilika panda juu mpaka ghorofa ya saba kwa kutumia dirisha lolote la upande wa mashariki jirushe utaangukia mtoni
 
Unajirusha ufe au ujajirusha ufurahi ebu weka mada ikae sawa..kama mvua ndo inakufanya utake kuvuta basi NAURA SPRING inakuhusu kinoma yaan.
 
Mkuu unataka kujirusha toks ghorofani au mtini!
 
Haya majibu mtoa mada nadhani uliahirisha zoezi lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…