Nipo Arusha wapi pa kujirusha?

Nipo Arusha wapi pa kujirusha?

Panda juu ya ghorofa lolote then jirushe tu kwa raha zako
 
Maana sio kwa jimvua hili;
Nisaidieni
Panda gari za kuelekea SAKINA, shukia Darajani, kusini utaone ghorofa refu halijakamilika panda juu mpaka ghorofa ya saba kwa kutumia dirisha lolote la upande wa mashariki jirushe utaangukia mtoni
 
Unajirusha ufe au ujajirusha ufurahi ebu weka mada ikae sawa..kama mvua ndo inakufanya utake kuvuta basi NAURA SPRING inakuhusu kinoma yaan.
 
Haya majibu mtoa mada nadhani uliahirisha zoezi lol
 
Back
Top Bottom