Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Poa sky atakupa booty lifter uniletee ninyanyue kishunduTena huwa naenda k'koo ya Beijing kila Siku jioni, hapa ukitajiwa suti ni yuan 1,500/= basi wewe andaa 250 hadi 350 watakuuzia hta kwa lazima. Panaitwa Hongqiao Market.
Poa sky atakupa booty lifter uniletee ninyanyue kishundu
Hahaha usiniogope mkuu...kawaida tuWewe bro. Nakuogopa sana, huwa unanusa post mpya vibaya sana.
Karibuni Korea huku Kisiwa cha Jeju full bata na akina Jun Ji Hyun,Park Choi Jin,na machizi wengine ni saa 9 usiku now tunashikilia viuno vya makahaba strippers hadi kucheerr
Huku hivi panapowavuruga wanaumeKishundu ndo nini Mamy?
Acha uongo, weka ushahidi hapa
Hahaha usiniogope mkuu...kawaida tu
Huku hivi panapowavuruga wanaume
Nipo mkoani mkuu...Kama upo dar nambie nataka nikubebe zawadi, you deserve it.
Hahahaa..mkuu na hyo avatar yako daah aseeHahaha usiniogope mkuu...kawaida tu
Nipo mkoani mkuu...
Daaah!
Hahaha ipo kawaida usiiogopeHahahaa..mkuu na hyo avatar yako daah asee
Mkuu upo serious??Kama upo dar nambie nataka nikubebe zawadi, you deserve it.
Mkuu upo serious??
Angalia tu mwenyekiti wa ...asijechanganyikiwa na kuanza kuleta leta zake! Muulize kama kuna toys za kike 😉..na vidoti vya kupachika chini ya pua..Poa sky atakupa booty lifter uniletee ninyanyue kishundu
Haha aisee mnataka kuja kutuua niniPoa sky atakupa booty lifter uniletee ninyanyue kishundu
unahitaji kwa matumizi binafsi au ya biashara ?Sky Eclat ukionana na huyu rafiki ako, naomba umpe booty lifter aniletee, ahsante sana.