Mweusi Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 332
- 322
- Thread starter
-
- #41
Haha aisee mnataka kuja kutuua nini
Pale kariakoo kuna China Plaza, huenda yuko mle ndaniSiku hizi hata mbagala ni beijing
em mie nikalale mtaa wetu kwa mama sina vyombo.
mambo ya Guangzhou tunawaachia
Hahaha sawa mkuu...unakuja Dar lini nimwambie ndugu yangu ajiandae hahahaWhy not? Huwa sikumalizi Kabisa, kuna wakati kama post ndo kwanza mpya huwa naogopa kuchangia hadi utie wino kwanza.
Hahaha sawa mkuu...unakuja Dar lini nimwambie ndugu yangu ajiandae hahaha
Ndio umeamua kupiga kelele kupiga kelele kariakoo kumuita mtu wako
sawa mkuu tuombee uzimaMwezi Wa Tisa mwanzoni.
Vipi Dada yangu kama ulifanikiwa kuolewa na yule Mchina hongera.
Lakini baada ya hongera, nataka kujua kama ulikuja kuishi huku. Kwa maana nahitaji nikuone.
Mimi naishi hapa mjini na nitakuwapo kwa muda Wa miezi 3 ijayo, kitongoji nilichopo ni Jianguomen mtaa ni Guangming West St.
Wako, mwana JF.
Ninasubiri Noah yanguAunt sky Eclat unaitwa huku
Mkuu siwezi kuondoka Kwamtogole sasa hivi, mjumbe wa nyumba kumi ana hakiki majina kwa kukabidhiwa Noah.Vipi Dada yangu kama ulifanikiwa kuolewa na yule Mchina hongera.
Lakini baada ya hongera, nataka kujua kama ulikuja kuishi huku. Kwa maana nahitaji nikuone.
Mimi naishi hapa mjini na nitakuwapo kwa muda Wa miezi 3 ijayo, kitongoji nilichopo ni Jianguomen mtaa ni Guangming West St.
Wako, mwana JF.
Kwa muda huu sitoki mkuu kitu Noah nitakikosaSky Eclat yuko Beijing karibu na Tandale.
Aunt mi nasubiri cash mkononiNinasubiri Noah yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shost nikiondoka Noah yangu atakabidhiwa nani?
Hahahaem mie nikalale mtaa wetu kwa mama sina vyombo.
mambo ya Guangzhou tunawaachia