NIPO BEIJING: Sky Eclat Nakutafuta.

NIPO BEIJING: Sky Eclat Nakutafuta.

Ndio umeamua kupiga kelele kupiga kelele kariakoo kumuita mtu wako
 
Vipi Dada yangu kama ulifanikiwa kuolewa na yule Mchina hongera.

Lakini baada ya hongera, nataka kujua kama ulikuja kuishi huku. Kwa maana nahitaji nikuone.

Mimi naishi hapa mjini na nitakuwapo kwa muda Wa miezi 3 ijayo, kitongoji nilichopo ni Jianguomen mtaa ni Guangming West St.

Wako, mwana JF.

Nenda kamvizie SanLiTun au Wudaokou utampata tu
 
Vipi Dada yangu kama ulifanikiwa kuolewa na yule Mchina hongera.

Lakini baada ya hongera, nataka kujua kama ulikuja kuishi huku. Kwa maana nahitaji nikuone.

Mimi naishi hapa mjini na nitakuwapo kwa muda Wa miezi 3 ijayo, kitongoji nilichopo ni Jianguomen mtaa ni Guangming West St.

Wako, mwana JF.
Mkuu siwezi kuondoka Kwamtogole sasa hivi, mjumbe wa nyumba kumi ana hakiki majina kwa kukabidhiwa Noah.
 
Back
Top Bottom