malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habar wakuu Niko Bukoba mjini nataka kufika kiwandani Kagera sugar nipeni muongozo ...maana Kuna ishu yakaajira naenda fukuzia uko kiwandani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwanda kipo wilaya ya misenyiHabar wakuu Niko bukoba mjini nataka kufika kiwandani kagera sugar nipeni muongozo ...maana Kuna ishu yakaajira naenda fukuzia uko kiwandani
Asante kwa muongozo mzuriPanda gari za kwenda Mtukula shukia kwenye gulio la Bunazi utakuta Boda na Michomoko yakwenda Kiwandani.
Bukoka Mjini huwezi kufika Kagera Sugar kamwe, nenda Bukoba Mjini ukifika niambie nikuelekeze!Habar wakuu Niko bukoba mjini nataka kufika kiwandani kagera sugar nipeni muongozo ...maana Kuna ishu yakaajira naenda fukuzia uko kiwandani
Sawa ndio nshapata ajira hiyo kinakuuma ninNingekuwa mtoa ajira hapo Kagera shuga ningekata jina lako haraka sana kumbafu
Asante kwa muongozo hivo hapo bunazi gulioni Kuna lodgePanda gari za kwenda Mtukula shukia kwenye gulio la Bunazi utakuta Boda na Michomoko yakwenda Kiwandani.
Zimejaa ni uchaguzi wako. Kule kiwandani ni mji unao jitegemea lakini hakuna guest wala kitimoto maana wenye kiwanda hapendi.Asante kwa muongozo hivo hapo bunazi gulioni Kuna lodge
Mkuu nimeshapata muongozo nanilifika
Bukoka??Mkuu nimeshapata muongozo nanilifika
Asante mkuu Nimefika Huku nanimetimiza haja zangu na mengi sana nimeyaona ya fursa kwakila mwenyeji naejaribu kumdadisi hakika kutembea nikujifunzaAll the Best Kijana.
Mungu akusaidie utimize haja yako.
Hapana boss nilikuja kusaka fursa ila mengi nimejionea nakuzungumza na wenyejiHuu uzi utakuja kukutesa. Siku uje utuletee habari za kujifanya wewe ni bosi wa fulani tajiri kumbe kapuku mwajiliwa wa kiwandani.Na watu hawachelewi kufukua makaburi.
Mkuu nilifka nanimejifunza vitu vingiZimejaa ni uchaguzi wako. Kule kiwandani ni mji unao jitegemea lakini hakuna guest wala kitimoto maana wenye kiwanda hapendi.