Nipo Bukoka mjini, nafikaje kiwanda Cha Kagera sugar?

Zimejaa ni uchaguzi wako. Kule kiwandani ni mji unao jitegemea lakini hakuna guest wala kitimoto maana wenye kiwanda hapendi.
Mkuu inaonekana ww nimwenyeji sana Huku vipi fursa hasa zinazopatikana wilaya yamisenyi na viunga vyake kama bunazi,kyaka namaeneo mengine..fursa hasa nizipi Huku?
 
Kwanza nianze kukuuliza wewe ukienda kiwandani kutafta ajira ya haina gani maana kiwandani wanaajiri kila siku ya mungu na watu wanaacha kazi kila siku ya Mungu. Ila inategemeana na haina ya ujuzi ulionao kama ni ajira za kukata miwa majority ya wafanyakazi pale ni warundi maana wahaya kazi ngumu kama hizo hawafanyi labda kibongobongo uwe msukuma ndo unaweza ule mtiti wa hyo kazi. Fursa nyingine zipo ila inategemeana na ujuzi wako.
 
Huu uzi utakuja kukutesa. Siku uje utuletee habari za kujifanya wewe ni bosi wa fulani tajiri kumbe kapuku mwajiliwa wa kiwandani.Na watu hawachelewi kufukua makaburi.
Kaka usije kufikil ajira za viwanda vya sukari mishahara nikama vile viwanda vya maji au vile vya Mohamed Dewij. Viwanda vya sukari kama una professional yako au ujuzi fulani mishahara yake ata uko serikalini robo yake hamuwezi kufikia plus bonus na malupu lupu yakufa mtu. Huduma za afya bure,umeme na maji bure, usafiri unakopeshwa unachagua unataka haina gani ya usafiri pikipiki au gari? Mafuta kuna kiwango cha lita unapewa kwa mwezi.
 
Kwanza nianze kukuuliza wewe ukienda kiwandani kutafta ajira ya haina gani maana kiwandani wanaajiri kila siku ya mungu na watu wanaacha kazi kila siku ya Mungu. Ila inategemeana na haina ya ujuzi ulionao kama ni ajira za kukata miwa majority ya wafanyakazi pale ni warundi maana wahaya kazi ngumu kama hizo hawafanyi labda kibongobongo uwe msukuma ndo unaweza ule mtiti wa hyo kazi. Fursa nyingine zipo ila inategemeana na ujuzi wako.
Namaanisha fursa ya kibiashara nakilimo mazao ya kilomo
 
Kuna watu wengine huamini kutumia jf ni muujiza
Mkuu kwa msaada memba wa jf Nimefika napopata namambo yangu yameenda poa ndio faida yakutumia mitandao vizur wengine mpo kukejeli watu nakuwaona wajinga kisa wanauliza humu ...wakat watu hao hao wanaokejeli nakuona watu wajinga walitumia sm au computer kusoma kutafuta maarifa badala yakwenda library sababu tu nitechonolgy imebadilisha mambo
 
Iwebhojo
 
Uliza wenyeji.
au unamuita boda chap tu anakuelekeza+kukupeleka.
Maswali ya kijinga km haya sio ya kuleta humu jamani!
 
Back
Top Bottom