sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Nina takribani siku ya tatu wilayani chato pahala nilipopachagua kufika kufanya utafiti dhidi utimamu wa akili wa Raisi wa Tanzania kabla hajawa raisi
Nikiwa kwenye utafiti wangu nikajikuta nafika pale nyumbani kwake kwanza nakutana na jengo la kanisa kubwa AMBALO kwa Sasa limefungwa
Naingiwa na shauku ya kutaka kujua hilo kanisa liliandikwa Mtakatifu Joseph mbona limefungwa?
Najulishwa yakuwa baada ya kifo Cha baba Yao familia iliwafukuzia mbali waumini wa kanisa la Pentekoste walio kuwa wanasali pale.
Pentekoste na Mtakatifu Joseph wap na wapi? Majibu niliyopewa ni kuwa Marehemu alijenga kanisa kwa lengo la kuwapa Katoliki lakini walilikataa ndo akaamua kuwapa walokole.
Kwa mtu anayeifahamu Katoliki huwezi kujenga kanisa kisha ukawapa wao, hii ilikuwa ishara ya ukichaaa tosha na kwa point hii Katoliki na Usalama walishiriki kutupa kichaa.