Nipo Chato natafakari mengi, kwa hili pekee Katoliki na Usalama wangelisaidia Taifa kama wangeamua

Alipokua hai kanisa lilitumiwa na waumini wa madhehebu yote!!.
 
Kwa taarifa Yako, hilo kanisa alijenga na mhemko wa kisiasa. Alitaka liwe kanisa la wakristo wa madhehebu yote. Alitaka na waisalamu wasali humohumo. Wakatoliki wakakataa, ndiyo hao wengine wakakubali
Fafanua, kivipi wasali kwa pamoja kwenye jengo moja?
 
Nina takribani siku ya Tatu wilayani chato pahala nilipopachagua kufika kufanya utafiti dhidi utimamu wa akili wa Raisi wa Tanzania kabla hajawa raisi

Nikiwa kwenye utafiti wangu nikajikuta nafika pale nyumbani kwake kwanza nakutana na jengo la kanisa kubwa AMBALO kwa Sasa limefungwa

Naingiwa na shauku ya kutaka kujua ilo kanisa liliandikwa mtakatifu Joseph mbona limefungwa?

Najukishwa yakuwa baada ya kifo Cha baba Yao familia iliwafukuzia mbali waumini wa kanisa la pente coste walio kuwa wanasalia pale.

Pentecoste na mtakatifu Joseph wap na wapi? Majibu niliyopewa ni kuwa Marehemu alijenga kAnisa kwa lengo la kuwapa katholik lakini walilikataa ndo akaamua kuwapa walokikore

Kwa mtu ANAE ijua catholic uwez Jenga kanisa ukawapa wao hii ilikuwa inshara ya ukichaaa tosha na kwa point hii catholic na usalama walishiriki kutupa kichaa
Mtu aliyekuwa Kichaa lakini akawa Waziri miaka ishirini na Rais miaka sita! Ahahahahaha!

Ila watu wenye akili kama wewe mmeishia kuwa wabangaizaji na majina bandia JF! Ahahahahaha!!!
 
Nina takribani siku ya Tatu wilayani chato pahala nilipopachagua kufika kufanya utafiti dhidi utimamu wa akili wa Raisi wa Tanzania kabla hajawa raisi

Nikiwa kwenye utafiti wangu nikajikuta nafika pale nyumbani kwake kwanza nakutana na jengo la kanisa kubwa AMBALO kwa Sasa limefungwa

Naingiwa na shauku ya kutaka kujua ilo kanisa liliandikwa mtakatifu Joseph mbona limefungwa?

Najukishwa yakuwa baada ya kifo Cha baba Yao familia iliwafukuzia mbali waumini wa kanisa la pente coste walio kuwa wanasalia pale.

Pentecoste na mtakatifu Joseph wap na wapi? Majibu niliyopewa ni kuwa Marehemu alijenga kAnisa kwa lengo la kuwapa katholik lakini walilikataa ndo akaamua kuwapa walokikore

Kwa mtu ANAE ijua catholic uwez Jenga kanisa ukawapa wao hii ilikuwa inshara ya ukichaaa tosha na kwa point hii catholic na usalama walishiriki kutupa kichaa
Kwa Sasa Waislam wametupa Nini mkuu
 
We ni mpumbavu sana tena mjinga. Acha kuponda usichokijua kwa kutunga story na kuleta hapa mradi tu kumkashifu marehemu Magufuli. Unaanzisha thread bila mantiki lengo likiwa kashfa kwa Magufuli. Ujinga uliopitiliza...
 
Nina takribani siku ya Tatu wilayani chato pahala nilipopachagua kufika kufanya utafiti dhidi utimamu wa akili wa Raisi wa Tanzania kabla hajawa raisi

Nikiwa kwenye utafiti wangu nikajikuta nafika pale nyumbani kwake kwanza nakutana na jengo la kanisa kubwa AMBALO kwa Sasa limefungwa

Naingiwa na shauku ya kutaka kujua ilo kanisa liliandikwa mtakatifu Joseph mbona limefungwa?

Najukishwa yakuwa baada ya kifo Cha baba Yao familia iliwafukuzia mbali waumini wa kanisa la pente coste walio kuwa wanasalia pale.

Pentecoste na mtakatifu Joseph wap na wapi? Majibu niliyopewa ni kuwa Marehemu alijenga kAnisa kwa lengo la kuwapa katholik lakini walilikataa ndo akaamua kuwapa walokikore

Kwa mtu ANAE ijua catholic uwez Jenga kanisa ukawapa wao hii ilikuwa inshara ya ukichaaa tosha na kwa point hii catholic na usalama walishiriki kutupa kichaa
😅😅😅 Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuzima nyota ya mzee baba🤔🤔🤔??? Mlikuwa wadogo wakati ule wimbo wa "pembe la ng'ombe halifichiki"? Mnatumia nguvu nyingi mno! Fanyeni yenu jamii itaona na kuwasifu kwa uwezo na si kwa kuchafua mzee wa watu.
 
Back
Top Bottom