Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
HAyakutajwa majini tu na malaika pia au hukusikiliza vizuri?Sawa yaaigizeni majini yasaidie ushindi kama mkivyoahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAyakutajwa majini tu na malaika pia au hukusikiliza vizuri?Sawa yaaigizeni majini yasaidie ushindi kama mkivyoahidi
Hivi lile kanisa kumbe lilikamilika? Vipi ile hoteli J&J bado inafanya kazi?Nina takribani siku ya Tatu wilayani chato pahala nilipopachagua kufika kufanya utafiti dhidi utimamu wa akili wa Raisi wa Tanzania kabla hajawa raisi
Nikiwa kwenye utafiti wangu nikajikuta nafika pale nyumbani kwake kwanza nakutana na jengo la kanisa kubwa AMBALO kwa Sasa limefungwa
Naingiwa na shauku ya kutaka kujua ilo kanisa liliandikwa mtakatifu Joseph mbona limefungwa?
Najukishwa yakuwa baada ya kifo Cha baba Yao familia iliwafukuzia mbali waumini wa kanisa la pente coste walio kuwa wanasalia pale.
Pentecoste na mtakatifu Joseph wap na wapi? Majibu niliyopewa ni kuwa Marehemu alijenga kAnisa kwa lengo la kuwapa katholik lakini walilikataa ndo akaamua kuwapa walokikore
Kwa mtu ANAE ijua catholic uwez Jenga kanisa ukawapa wao hii ilikuwa inshara ya ukichaaa tosha na kwa point hii catholic na usalama walishiriki kutupa kichaa
Pengine ni wenye vyeti feki bado wana hasira na marehemu kwa maamuzi yake ya kuwachinjia baharini.Mwacheni baba wa watu apumzike
Binafsi namchukulia Kabendera kama kibaraka, Mtutsi mwenye anaweza kuiuza Tanzania atakavyo. Mtazamo wangu binafsiUmesoma kitabu cha Kabendera mkuu?
Ungekisoma kitabu ungepata upande wake, kaelezea hili jambo kirefu.Binafsi namchukulia Kabendera kama kibaraka, Mtutsi mwenye anaweza kuiuza Tanzania atakavyo. Mtazamo wangu binafsi
Wezi, wavivu, wajinga na wapumbavu wengi wanamchukia Magufuli.Wise man wezi wengi wanamchukia JPM
Nasisitiza bro; kwangu mimi Kabendera namchukulia kama kibaraka, anaweza kuiuza Tanzania for money. Nimemfatilia mwandishi vizuri then nimejiridhisha, kukisoma kitabu chake is just wastage of my time, materiallessUngekisoma kitabu ungepata upande wake, kaelezea hili jambo kirefu.
Tatizo wewe ni wale wanaitwa "sitaki shule".
Unakihukumu kitabu kabla hujakisoma.
Thibitisha hoja yako kwamba Kabdendera ni kibaraka tuichambue kimantiki, kwa ushahidi hapa.Nasisitiza bro; kwangu mimi Kabendera namchukulia kama kibaraka, anaweza kuiza Tanzania for money. Nimemfatilia mwandishi vizuri then nimejiridhisha, kukisoma kitabu chake is just wastage of my time, materialless
Unatofautishaje huyu anamchukia Magufuli na huyu anampinga Magufuli kwa hoja ya kifalsafa na si kwa chuki?Wezi, wavivu, wajinga na wapumbavu wengi wanamchukia Magufuli.
1. Wezi wanamchukua cause alibana mirija yao ya wizi, lazima wamchukie
2. Wavivu aliwabana sana hadi wengine alikua anawatumbua makazini, hawa nao lazima wamchukie cause wao wanataka kwenda kazini ku produce nothing, wanafikiria matumizi zaidi kuliko ku generate cash flow. Imagine mtu na akili zake anataka ndege kupigwa rangi tu, tena nje sio ndani ya ndege, hiyo kazi ikafanywe China. Pumbafu
3. Kwasasa ukisoma comment za Watanzania wengi (bila kujali zinamlenga Magufuli au uchambuzi wa kawaida tu) utaona jinsi gani wabongo tulivo wajinga, tunapinga na kuunga mkono vitu vya kipumbavu sana. Magufuli alitulazimisha kufikiri nje ya box; mambo mengi yalikua yanaonekana hayawezekanj, kwake yaliwezekana. Alikua na mipango mingi ya mbeleni, matunda yake yangekuja kuonekana mbeleni huko, sisi tunapenda vitu vya chap chap. Imagine mabasi ya mwendokasi nayo tunahitaji mwekezaji, just imagine. Biashara haina ushindani, TRA hawakufatilii, traffic as well. Wewe kupeleka basi kituoni, that's it; unapiga pesa, lakini eti nalo haliwezekani. Ujinga, uvivu.
Fikiria mtu kafariki miaka 4 imepita, bado anasumbua watu hadi leo. Yaani kagoma kufa to-date
Kwa muktadha wa uzi tunao changia, simchukii yeyote, mleta uzi na wanao m support cause ndio mgongano wa mawazo huo; again kwa kua kuna mambo ya kikanisa kanisa humu kwenye uzi hadi mleta maada katushawishi tuuone JPM alikua kichaa, sasa kwa uzi hu tu, kaka wewe hata hukutakiwa kuuchangia cause wewe huamini katika Mungu. But again, Kabendera simuoni kama mzalendo, Kabendera kwa mtazamo wangu huyu sio; hata kitabu chake ukikitazama, why kachagua kuandika kwa lugha ya Kingereza na kukiweka Amazon, kwa haraka, target ya wasomaji/wateja wake sio WatanzaniaUnatofautishaje huyu anamchukia Magufuli na huyu anampinga Magufuli kwa hoja ya kifalsafa na si kwa chuki?
Hilo swali ulilolinukuu umelisoma na kulielewa?Kwa muktadha wa uzi tunao changia, simchukii yeyote, mleta uzi na wanao m support cause ndio mgongano wa mawazo huo; again kwa kua kuna mambo ya kikanisa kanisa humu kwenye uzi hadi mleta maada katushawishi tuuone JPM alikua kichaa, sasa kwa uzi hu tu, kaka wewe hata hukutakiwa kuuchangia cause wewe huamini katika Mungu. But again, Kabendera simuoni kama mzalendo, Kabendera kwa mtazamo wangu huyu sio; hata kitabu chake ukikitazama, why kachagua kuandika kwa lugha ya Kingereza na kukiweka Amazon, kwa haraka, target ya wasomaji/wateja wake sio Watanzania
Nenda msome msome jamaa mmoja anaitwa Buyobe yupo Twitter, kaandika story ya jinsi Kabendera alivokamatwa na kifo cha bwana mmoja alikua anaitwa Lwajabe/Rwajabe, utaona kuna information Kabendera alikua anazitafute za kuihusu Tanzania tena za siri ili azichape kwa western media. Huyu unamuonaje kama mzalendo?Thibitisha hoja yako kwamba Kabdendera ni kibaraka tuichambue kimantiki, kwa ushahidi hapa.
Kwa hiyo mtu akiwa anatafuta information za siri za Tanzania azichapishe katika wesetrn mwdia huyo si mzalendo?Nenda msome msome jamaa mmoja anaitwa Buyobe yupo Twitter, kaandika story ya jinsi Kabendera alivokamatwa na kifo cha bwana mmoja alikua anaitwa Lwajabe/Rwajabe, utaona kuna information Kabendera alikua anazitafute za kuihusu Tanzania tena za siri ili azichape kwa western media. Huyu unamuonaje kama mzalendo?
Mkuu tupe mrejesho wa Chato International Airport , mbuga ya wanyama Chato na miradi mingine ya hayati.Nina takribani siku ya Tatu wilayani chato pahala nilipopachagua kufika kufanya utafiti dhidi utimamu wa akili wa Raisi wa Tanzania kabla hajawa raisi
Nikiwa kwenye utafiti wangu nikajikuta nafika pale nyumbani kwake kwanza nakutana na jengo la kanisa kubwa AMBALO kwa Sasa limefungwa
Naingiwa na shauku ya kutaka kujua hilo kanisa liliandikwa Mtakatifu Joseph mbona limefungwa?
Najulishwa yakuwa baada ya kifo Cha baba Yao familia iliwafukuzia mbali waumini wa kanisa la Pentekoste walio kuwa wanasali pale.
Pentekoste na Mtakatifu Joseph wap na wapi? Majibu niliyopewa ni kuwa Marehemu alijenga kanisa kwa lengo la kuwapa Katoliki lakini walilikataa ndo akaamua kuwapa walokikore
Kwa mtu anayeifahamu Katoliki huwezi kujenga kanisa kisha ukawapa wao, hii ilikuwa ishara ya ukichaaa tosha na kwa point hii Katoloki na Usalama walishiriki kutupa kichaa
mpaka waislamu nao wasali humohumo!!??, kweli jamaa alikuwa kichaa pro maxKwa taarifa Yako, hilo kanisa alijenga na mhemko wa kisiasa. Alitaka liwe kanisa la wakristo wa madhehebu yote. Alitaka na waisalamu wasali humohumo. Wakatoliki wakakataa, ndiyo hao wengine wakakubali
DuuhKwa taarifa Yako, hilo kanisa alijenga na mhemko wa kisiasa. Alitaka liwe kanisa la wakristo wa madhehebu yote. Alitaka na waisalamu wasali humohumo. Wakatoliki wakakataa, ndiyo hao wengine wakakubali
Fafanua, kivipi wasali kwa pamoja kwenye jengo moja?