Kile kichwa kilikua kimejaa ubongo. Hata corona, mwishoni mwa siku WHO wenyewe walianza kutembelea kwenye kanuni zake; kuna watu walisoma Sayansi na Sayansi iliwaelewa BUT kuna wengine walikwenda kukariri vitabu vya sayansi na sayansi wala haikuwaelewa. Kiongozi gani mwingine kafariki na watu wanamjadiri hadi leo? Trump na Elon wanapita mule mule, kuhusu madeni na mikopo during pandemic alizishauri financial institutions na zikaelewa. Wapuuzi, wezi, wavivu na wasio fikiria vizuri ndio wanamchukia mwamba.
JPM habari nyingine ile