nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ni wachache tulimwelewa Magufuli, wachache wanaendelea kumwelewa, wengi watamwelewa baadae (slow learners)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
biashara kichaa.Nina takribani siku ya tatu wilayani chato pahala nilipopachagua kufika kufanya utafiti dhidi utimamu wa akili wa Raisi wa Tanzania kabla hajawa raisi
Nikiwa kwenye utafiti wangu nikajikuta nafika pale nyumbani kwake kwanza nakutana na jengo la kanisa kubwa AMBALO kwa Sasa limefungwa
Naingiwa na shauku ya kutaka kujua hilo kanisa liliandikwa Mtakatifu Joseph mbona limefungwa?
Najulishwa yakuwa baada ya kifo Cha baba Yao familia iliwafukuzia mbali waumini wa kanisa la Pentekoste walio kuwa wanasali pale.
Pentekoste na Mtakatifu Joseph wap na wapi? Majibu niliyopewa ni kuwa Marehemu alijenga kanisa kwa lengo la kuwapa Katoliki lakini walilikataa ndo akaamua kuwapa walokole.
Kwa mtu anayeifahamu Katoliki huwezi kujenga kanisa kisha ukawapa wao, hii ilikuwa ishara ya ukichaaa tosha na kwa point hii Katoliki na Usalama walishiriki kutupa kichaa.
Fafanua kidogo, maelezo yako yanafikirisha.Alikua anaijua hatma yake mapema!kwasasa huwezi kuwa namba moja wa nchi bila kujua fate yako,lazima utachungulia kwanza Toka kwa jamii zile ndio wakupe kijiti!!
We huoni alipewa ubunge wa vipindi vinne kipindi Cha tano ndio akawa was muhula mmoja!!?unafikiri alipata pata tu!!?
Mchoro unapewa mapema ndio unasaini halafu unaanza kutumikia Duniani Kwa muda Fulani wanakuchukua ukamalizie na upande wa pili ndio unaenda rasmi sasa ukisubiri hukumu kuu!!
Labda utaelewa!
Kwa angle hiyo siwezi kukikataa.Naongea abstract. Si kitabu cha Kabendera.
Ukikutana na kitabu cha kurasa 1500 kimejaa facts pote, kimekosea jina la mtu sehemu moja tu, utakikataa hicho kitabu kwa sababu ya kosa moja hilo tu?
Tafuta pesa simbaaa...manyokoNina takribani siku ya tatu wilayani chato pahala nilipopachagua kufika kufanya utafiti dhidi utimamu wa akili wa Raisi wa Tanzania kabla hajawa raisi
Nikiwa kwenye utafiti wangu nikajikuta nafika pale nyumbani kwake kwanza nakutana na jengo la kanisa kubwa AMBALO kwa Sasa limefungwa
Naingiwa na shauku ya kutaka kujua hilo kanisa liliandikwa Mtakatifu Joseph mbona limefungwa?
Najulishwa yakuwa baada ya kifo Cha baba Yao familia iliwafukuzia mbali waumini wa kanisa la Pentekoste walio kuwa wanasali pale.
Pentekoste na Mtakatifu Joseph wap na wapi? Majibu niliyopewa ni kuwa Marehemu alijenga kanisa kwa lengo la kuwapa Katoliki lakini walilikataa ndo akaamua kuwapa walokole.
Kwa mtu anayeifahamu Katoliki huwezi kujenga kanisa kisha ukawapa wao, hii ilikuwa ishara ya ukichaaa tosha na kwa point hii Katoliki na Usalama walishiriki kutupa kichaa.
Sasa mbona umesema kitabu kikiwa na kosa moja tu unakikataa?Kwa angle hiyo siwezi kukikataa.
Kwako kiongozi mzuri ni mwislamu...biashara kichaa.
Kwa kweli JF ya sasa imekuwa kama kokoro hivyo si ajabu kuwakuta watu kama wewe kina kirefu humu mkitapatapa humu jamvini!mmeshasahau kitabu Cha kabendera,alitimuliwaga misheni skul na akili ilifyatukaga kitambo
Nakikataa kitabu kwa kosa la facts sio kosa la kiuandishi, angalia mifano yangu...Sasa mbona umesema kitabu kikiwa na kosa moja tu unakikataa?
Unaelewa hata wewe mwenyewe unasimamia nini?
Haya, kitabu hicho hicho kikipatia mambo yote, kurasa 1500 zote ziwe sawa, kikakosea tarehe ya kufariki Sokoine, kikaitaja April 12, 1983 badala ya 1984, utakikataa kitabu kizima kwa sababu ya kosa moja?Nakikataa kitabu kwa kosa la facts sio kosa la kiuandishi, angalia mifano yangu...
Mtu akisema rais wa kwanza wa Tanzania ni Julias Nyeriri namuelewa maana ni kosa la kiuandishi...
Ila akisema ni Rashidi Kawawa unamkataa maana ni kosa la kupotosha.
Umeona kuna sehemu nineongelea ubovu au uzuri wa kiongozi?Kwako kiongozi mzuri ni mwislamu...
So kwako viongozi bora nchi hii ni Mwinyi, Kikwete na Samia...
Hili nina uhakika.
Ukiwa muovu kusahaulika siyo rahisi. Ndiyo maana hata yule wa Ujerumani bado ana trend.Mwamba anaendelea kutrend kuliko walio hai, alikuwa jembe sana
Kama kuna mtu kichaa zaidi ya Jiwe basi yamfaa huyo mtu auliwe na mamlakaKichaa anaenda kufanya utafiti kufahamu ukichaa wa watu timamu?
Tanzania kwa sasa, ni eneo hatari sana kwa kuishi watu timamu wa akili
Jinga kabisa
Kuwa Rais au waziri ni ishu nyingine. Mpaka yeye mwenyewe aliwahi kujiita kichaa, au umesahau?Mtu aliyekuwa Kichaa lakini akawa Waziri miaka ishirini na Rais miaka sita! Ahahahahaha!
Ila watu wenye akili kama wewe mmeishia kuwa wabangaizaji na majina bandia JF! Ahahahahaha!!!
Ni muhimu ili tusije rudia kosa la kuweka Rais kama yuleNdio maana hadi Leo tunaamini umaskini wetu umesababishwa na wazungu ilihali hela zinapigwa halmashauri na wizarani
Mtu kafa kaenda nyie mpo hadi na utafiti unafanya
soma Tena alichoandika sifi Leo kabla hujanijibu me kasome pia kitabu Cha kabenderaKwa kweli JF ya sasa imekuwa kama kokoro hivyo si ajabu kuwakuta watu kama wewe kina kirefu humu mkitapatapa humu jamvini!
Nakushauri kwanza uwe mstaarabu, rudi shule ujifunze kuandika bila kusahau hoja hujibiwa kwa hoja na si vioja..hii ni home of great thinkers!
Kwako kiongozi mzuri ni mwislamu...
So kwako viongozi bora nchi hii ni Mwinyi, Kikwete na Samia...
Hili nina uhakika.
Mzalendo uchwara. Alitupiga sana huku akiwatumia watu kama wewe kwa kuwaita wanyonge then nyie mnafurahi na kubinuka. Sijuia sasa kama huo unyonge wenu aliutoa au bado mko naoUmeandika mada ya kutuhuzunisha watanzania maana alikuwa mzalendo hasa tofauti na lililolithi limetuharibia nchi
Kumuita jiwe mwamba ni kujifanya mjinga, labda mwamba wako, wewe utakuwa ni wale mliokuwa mnaitwa wanyongeUtafiti wangu umebaini mwamba JPM na Tundu Lisu ndio majina yanayotajwa sana humu jukwaani.