nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Nakubali, kama jambo lenyewe ni kweli...Umekubali hoja ya msingi kwamba mtu mzalendo anaweza kuianika nchi yake kwenye vyombo vya kimataifa na kwamba mfano wako wa Snowden umetuonesha hilo?
Ninachokataa ni kuona Kabendera anaitwa mzalendo kwa kuongea vitu visivyokuwa na uthibitisho lakini...
Snowden akiitwa msaliti kwa kuongea ukweli...