Nipo chini ya miguu yenu wanaJF

Naombeni audio ya hizi nyimbo;
1. Leonore ya Bokilo
2. Lala salama Chiku ya Zahir Ali Zorro
3. Selina ya Muhidini Ndolanga
4. Nawashukuru wazazi ya nani sijui lakini Ndolanga yumo.
Muhidini Ndolangq (R.I.P) aliyekuwa mwenyekiti wa FAT zamani now TFF?..sikumbuki kama aliwahi kuwa mwanamuziki....Au Muhidini Gulumo?..
 
Nami nqomb huu
 

Attachments

  • Screenshot_2024-12-17-16-02-45-376_com.shazam.android.jpg
    106.7 KB · Views: 3
1. Selina moja nyimbo za kwanza kabisa tangu kuanzishwa DDC 1978 mzee Gulumo akiimbisha
2. Nawashukulu wazazi nao pia ni DDC Mlimani park Mzee Bitchuka akiimbisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…