Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,224
- 2,337
Mwenye video ya Beatrice ya Mass Media Zahir Zorro pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀Naombeni audio ya hizi nyimbo;
1. Leonore ya Bokilo
2. Lala salama Chiku ya Zahir Ali Zorro
3. Selina ya Muhidini Ndolanga
4. Nawashukuru wazazi ya nani sijui lakini Ndolanga yumo.
.....ushauri wao umeniletea mafanikio mema....Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote, malezi yenu yameniletea wakati mzuri, sasa naishi na watu vizuri
Sawa mkuu mimi nimeimba hivyo hivyo nimeeruka hio line.....ushauri wao umeniletea mafanikio mema....